Search results

  1. dr.malulu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamthibitisha Benjamin Sitta kuwa Meya wa Kinondoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtambua Mh. Benjamin Sitta kuwa meya wa Kinondoni. Hukumu hiyo imetolewa leo baada ya mahakama kutupilia mbali hoja za upande wa pili (Ukawa). Kama mnakumbuka siku ya uchaguzi polisi waliwakamata baadhi ya viongozi na wajumbe wa UKAWA sambamba na ongezeko la...
  2. dr.malulu

    Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Tarehe mbili leo, Drama Mpya. Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu. 1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa...
  3. dr.malulu

    Endelea kufanya hira lakini usisahau kuna kifo

    YES: Mtakufa tu,lazima mfe kwa sababu kila nafsi hai itayaonja mauti.Endeleeni kuonea watu,kunyanyasa wanyonge na kufanya kila aina ya hira lakini mkumbuke kifo kipo na mtakufa.Haijalishi utakufaje ,lakini utawala na mamlaka mlionayo yatafikia kikomo.Ipo siku Watanzania watakua huru...
  4. dr.malulu

    Vyuo vikuu,mtunukieni pia mbowe wa chadema

    Naomba kujua vigezo na aina ya mtu anastahili kupata heshima au tunuku kutoka vyuo vikuu kwa utendaji kazi na mchango wake katika jamii.Na kiongozi wa chadema Mbowe anaweza kupata heshima hiyo?,maana mchango wake unatambuika na kitaifa na kimataifa. asanteni.
  5. dr.malulu

    Police acheni siasa muwatumikie wananchi

    Yes!!!!!! Sina hakika na sina raha pia,kwa ushirikiano inaopata police kutoka kwa wanachi.Is look like kuna shida,tena kubwa tu.Jambazi ni mtu hatari kwa police na kwa mwananchi wa kawaida,sio rahisi mtu anakupenda kukuficha au kuficha taarifa za mtu mbaya kwako na kake pia.Miaka ya nyuma mambo...
  6. dr.malulu

    Huyu ndio anaitwa Mungu

    Ndo alivo,anajua kila kitu na kila taifa na watu wake.Si rahisi kujua wakati gani atafanya au atamtanguliza nani.Unatisha wakati mwingine kwa kua huwasaidia hata waharifu kuwatesa watu wake ili wajifunze njia sahihi.Ndo alivyo siku zote.Hakuna mwenye nchi hii ni mda tu ulikua na umefika au...
  7. dr.malulu

    CCM Serikali bora duniani

    Ni ccm pekee,makini,imara na inayojali wananchi wake!. 1. Ni serikali pekee yenye uwezo wa kujenga balabala na zikadumu kwa miezi mitatu au mnne,mfano (mwenge tegeta),na kuwa mbovu na isiyopitika kwa dreva mlemavu anaeendesha kwa mkono mmoja. 2. Ni umakini wa ccm tu,inayoweza kujenga shule...
  8. dr.malulu

    Biashara 10 zinazolipa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu Oct. 2015

    Kwa wafanya biashara..Fanya biashara hizi kuelekea uchaguzi mkuu. 1. Stationary (business card za wabunge, madiwani, n.k) 2. Ku print t-shirt 3. Kituo cha redio hata chenye masafa mafupi .eg. E-FM wanapiga pesa sasa hivi 4. Music system. MC tena ukiwa na malori ya kubebea huo mziki wako ndo...
  9. dr.malulu

    Ccm mnataka kutawala mpaka lini?,ili iweje?,na kwa ajili ya nani?

    SALAAM Wakati mwingine huwa nawaza sana,hata kupata maswali kadhaa kichwani.Mwaka wa 50 sasa chama cha mapinduzi kipo madarakani,kwa sera zile zile,ofisi zile zile,viongozi wale wale.Je leo tuna kitu cha kijuvunia kutoka kwao?.(eti tumejenga balabala-nani alitakiwa ajenge wakati unaongoza...
  10. dr.malulu

    Kiwanja kinauzwa, Goba - Oysterbay Street

    Wakuu. Nina kiwanja nakiuza,kina ukubwa wa 40/40,kina sehemu nzuri na isiyo jaa maji wakati wote.Kipo meter moja toka ilipo nguzo ya umeme na hivyo kua rahisi mtu kujenga na kuweka umeme bila gharama ya nguzo mpya.Bei ni maelewano na ni vyema mwenye nia na uhitaji akakiona kiwanja...
  11. dr.malulu

    Tanzia: Mwasisi wa Chama na Serikali Mzee Lameck M. Bogohe amefariki dunia

    Habari wana jukwaa! Mzee wetu ,mwasisi wa chama na serikali,mzee Lameck Makaranga Bogohe,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Bugando jijini Mwanza. Mzee Bogohe alipatwa na mshituko siku ya alhamisi ya tarehe 23/04/2015 huko nyumbani kwake Mwanza. Mungu aiweke Roho yake...
  12. dr.malulu

    Tanzania ina Madini aina nyingi, unayafahamu?

    Ni aibu sana kwa Mtanzania mimi mwenye umri wa miaka zaidi ya 30 kutokujua idadi ya madini nchini, thamani yake na hata kwa kuyaona kwa macho. Inawezekana tupo wengi wenye tatizo kama langu, inawezekana ni kwa kutofanya uchunguzi au mfumo wa nchi yetu. Lakini pia mbona hatuhoji haya mambo? Au...
  13. dr.malulu

    Wasiwasi wangu kwa vyombo vya habari kutumia wanasiasa kujitangaza

    PASAKA NJEMA. Nimekua na wasi wasi na baadhi ya vyombo vya habari kutumia wana siasa maarufu kujitangaza. Chombo cha habari na Mwanasiasa ni mambo mawili tofauti, kiutendaji na hata kimpokeo kwa jamiii. Ni nani atamkosoa mwanasiasa endapo atafanya maovu kwa wananchi, kama wewe mfikisha taarifa...
  14. dr.malulu

    Mtani wangu ZITTO, hata Ngorika na Buffalo zilikuwa kama wewe miaka ya 2002

    Mtaniiiiiii-MWALAEEEE Nakumbuka miaka ya 2002 hakuna mabasi yaliyokua maarufa kama NGORIKA NA BUFFARO kwa wale ndugu zangu wa Arusha watanisaidia.Ilikua ukipanda gari lingine unafika kesho jion Arusha,Ikawa ni ngorika/buffaro tu ,na walikua wanapenda sifa kweli kama wewe,ukiona ngorika dakika...
  15. dr.malulu

    Nyumba inauzwa, iko Kawe Ukwamani, ni nzuri na imara (Tshs. 70,000,000/=)

    Salam wa jukwaa, Kuna nyumba inauzwa, iko Kawe Ukwamani, ina vyumba vitano na sebule kubwa, choo cha ndani na jiko. Imejengwa kwa ubora mkubwa, imezungushiwa ukuta na iko sehemu inayofikika kwa gari. Iko kwenye kiwanja chenye eneo la (40/30)sm. Kwa yeyote anaehitaji tuwasiliane kupitia namba...
  16. dr.malulu

    Vijana wa CCM njooni hapa Mtuambie, pengine tunaweza kabadilisha mawazo na fikra tukawasuport

    Salamau iko mwisho mtaikuta. Vijana wenzangu wekereketwa na wapenzi wa chama cha mapindunzi(CCM) ni nini hasa kinachowapa nguvu na kuondoa aibu vichwani mwenu na hata kusimama mbele ya watu mkikitetea?.Tuambieni na sisi pengine hutujui kiundani uzuri wa CCM,na ikiwezekana mtoe na mifano ili...
  17. dr.malulu

    Comedy za bongo na vichekesho vya wanaume kuigiza wanawake.zinaboa

    SALAM Napenda sana comedy kwa sababu ukicheka inasaidia kukimbiza some stress.Nilikua mfuatiliaji sana wa comedy ya kina masanja enzi hizo wakiwa east africa,na mwanzoni mwa TBC 1 Kipindi ikiwa alhamis.sikua tayr kukosa baadae Tbc nayo ikiwa mambo mengi mara bunge mala report maalumu mpaka...
  18. dr.malulu

    Ni sahihi kuvaa nguo za chama msibani?,is it fair kwa wafiwa?

    Salama wana JF. Huwa napata wakati mgumu kidogo ,ikitokea misiba hasa ya wanasiasa.Unakuta watu wamevaa nguo za vyama vyao pale and they happy is if kuna kampeni msibani.Sasa kwa wasio na chama inakuaje au msiba hauwahusu?.na vipi upande wa mfiwa anajisikiaje akikuona umevaa nguo ambazo...
  19. dr.malulu

    Vijana demokrasia tunayoipinga leo kwa ushabiki, watoto wetu wataidai kwa sisi kumwaga damu.

    salam ndugu zangu.... kumekua na ushabiki flani hivi wa kijinga kijinga naweza kuuita.Leo hii hakuna mtu anaweza akajitokeza na kudai haki yake kama raia na kulindwa na katiba.ikitokea utasikia..AMETUMWA NA WATU/KUNA WATU NYUMA YAKE.Na kinachoniudhi ni wale tu wanaokamatwa na polisi ndo mala...
Back
Top Bottom