Search results

  1. dr.malulu

    TLS ya sasa ina sura ya tawi la chama cha siasa

    Wewe nadhani ndo Tawi la chama fulani,but kwa tulikua tukiifuatilia TLS ya zamani na ya sasa.....tunaona makucha ya sheria sasa
  2. dr.malulu

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Huyu anaeitwa Tundu Lissu,labda wamteke tu vinginevyo atawasumbua sana
  3. dr.malulu

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Sasa wamechukua daftari mnakimbilia jf kushitaki,wapuuzi kabsa mnataka mumbembelezwa na Nani...walikua wangapi ....piga ngumi hao
  4. dr.malulu

    Marekani wameanza kuiga siasa za Tanzania!

    Madhara ya ndoto za visiwani Zanzibar...Una cha kuigwa na Marekani
  5. dr.malulu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamthibitisha Benjamin Sitta kuwa Meya wa Kinondoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtambua Mh. Benjamin Sitta kuwa meya wa Kinondoni. Hukumu hiyo imetolewa leo baada ya mahakama kutupilia mbali hoja za upande wa pili (Ukawa). Kama mnakumbuka siku ya uchaguzi polisi waliwakamata baadhi ya viongozi na wajumbe wa UKAWA sambamba na ongezeko la...
  6. dr.malulu

    Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Duuuh.Kweli tochi ya Umeme baharini
  7. dr.malulu

    Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Mziki mbona unahangaika?.Jana si ulikua tare he moja ,..mwaka wako utaisha kweli wewe?
  8. dr.malulu

    Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Tarehe mbili leo, Drama Mpya. Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu. 1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa...
  9. dr.malulu

    Endelea kufanya hira lakini usisahau kuna kifo

    kufa lazima watakufa,hata wafanyeje ....lazima
  10. dr.malulu

    Endelea kufanya hira lakini usisahau kuna kifo

    YES: Mtakufa tu,lazima mfe kwa sababu kila nafsi hai itayaonja mauti.Endeleeni kuonea watu,kunyanyasa wanyonge na kufanya kila aina ya hira lakini mkumbuke kifo kipo na mtakufa.Haijalishi utakufaje ,lakini utawala na mamlaka mlionayo yatafikia kikomo.Ipo siku Watanzania watakua huru...
  11. dr.malulu

    Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    No UOTE="Masiya, post: 18979546, member: 77348"]Kwa uonavyo wewe njia pekee ya kuona ujumbe huo na kujua namba iliyo-utuma ni lazima mwenye simu akamatwe? Ni rahisi tu kujiuliza. Tundu lissu ule Ujumbe aliutoa wap?,na lini aliupata na kana Mwanasheria mbona hakufuatilia kesi police kama ambavyo...
  12. dr.malulu

    Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Waacheni police wafanye kazi yao.Wakati mwingine Vitu vidogo tu na vya kawaida,mnatoa macho. Tundu lissu alionyesha ujumbe wa kutishwa kwa Ben .....Kwa hali ya kawaida lazima akamatwe na police aonyeshe Ujumbe and namba iliutuma huo Ujumbe.Then police waendelee na uchungunzi mwingine.
  13. dr.malulu

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    Sema mwananchi Sasa nimeshawachoka...sio wananchi Sasa tumeshawachoka....unamsemea Nani? Au ndo mbinguni ndo anakoishi Mungu na Shetani?
  14. dr.malulu

    Tuhuma nzito za Mange zisizo na ushahidi dhidi ya Rais, anafanya sawa?

    Mange kimambi hajaanza Leo.Na hakuwahi kumsema mtu wa kawaida ni watumishi wa serikali. Hakamatwi mpaka Leo na wanasoma newz zake....ukiona train baharini ni pepo
Back
Top Bottom