Search results

  1. K

    Salva Rweyemamu amjibu Lipumba juu ya mafanikio ya Rais Kikwete

    Juzi kwenye gazeti la mwanahalisi kulikuwa na makala iliyoandikwa na Salva Rweyemamu, ambaye ni mkurugenzi wa habari wa ikulu na mwandishi wa habari wa muda mrefu (alikuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa gazeti la rai), makala ile ilikuwa ni majibu ya Salva kwa Profesa Ibrahim Lipunba ambaye ni...
  2. K

    Watangazaji wetu ni kasuku?

    Ndugu wana jamvi naomba hoja zenu katika hili mimi linanitatiza sana. Ni mara nyingi sana kila ninaposikiliza habari au matangazo mbalimbali katika redio zetu au Luninga ninapatwa na mshangao jinsi hao presenters wanavyo potosha jamii. Mfano mzuri ni jana, nilikuwa naangalia habari katika...
  3. K

    Yaliyomo Yamo?

    Mambo! Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
Back
Top Bottom