Ndugu wote wana jamii forums.
Dada mmoa anaomba msaada kwa yeyote ambae amebahatika au atabahatika kukiona kitambuliho cha mpiga kura ambacho kimepotea au kuibiwa na vitu vingine ambavyovilikuwa ndani ya pochi ya mkononi
tarehe 22 08 2015 pale udasa chuo kikuu ca dar es salaam akiwa katika...
MAMA KIBUNJU ebay used wanauza pound 7.50 mpya equivalent to original wanauza pound 15.50 sina uhakika kwa kusafirisha hadi dar na ushuru itagarimu kiasi gani, KAMA INAWEZEKANA WEWE KUNILETEA FANYA HIVYO.nawasilisha.
Asante mkuu Idimi mimi nipo Dar nitakwenda hapo Uhuru na Msimbazi lolote nitakalo likuta hapo nitarudi kutoa taarifa. Juu ya e-bay taratibu zote nipo gizani kabisa ndio maana nimeomba kufahamishwa.
Ndugu wana JF nisaidieni niweze kupata REMOTE CONTROL NUMBER RM 886 FOR SONY TRINITRON KV29fx11U nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote.
au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje...
kama yeye ni makamu wa kwanza wa rais ktk smz basi aambiwe kwamba hakuna haja ya kutangaza hautaki muungano. Bali yeye na wenzake wasije bara waishie huko huko. Lakini huyu bwana maalim si mkweli kwa sababu. Hahitaji kusema tu ajitoe haraka ndipo na wenzake watafuata.

Usisubutu kuchukua hizo fedha si halali yako.
1. Ukifika benki kuchukua kama huna kawaida ya a/c yako kuweka hela nyingi ndo mwanzo wa kuhisiwa mwizi .
2. Hata kama kuna watu wa IT wameweka kwako basi ni mtego kwako
3. Wataarifu hiyo benki kumwokoa tela aliyekosea njia na kuweka kwako atafungwa...
TAX COMPUTATION ON IMPORTED NON-UTILITY MOTOR VEHICLES
A. For non-utility vehicles of less than ten years old from the year of manufacture.
Illustration 1
Imported non-utility vehicles with engine capacity between 0-1000 cc. The computation of duties and taxes will be based on the applicable...

JARIBU KUFUATA HUU MTIRIRIKO HALAFU UTAONA NI WAPI UNASIMAMIAKWA WAZO LANGU HII NI NJIA RAHISI KWA WEWE KUJIPIMA. KAZI NJEMATAX COMPUTATION ON IMPORTED NON-UTILITY MOTOR VEHICLESA. For non-utility vehicles of less than ten years old from the year of manufacture.Illustration 1Imported non-utility...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.