Search results

  1. kabamanya

    Building a new politics for sustainable democracy and security in Africa

    Unanswered questions. All African Peoples' Conference 2018 (Accra 2018) completed in Ghana, under the #Hashtag #AfricanMustUnite, left a number of question unanswered. What is politics? What is New Politics? What was the Old Politics of Africa? How to build a new politics? And new politics for...
  2. kabamanya

    Job opportunity at the mwalimu Nyerere foundation

    The Mwalimu Nyerere Foundation is inviting qualified candidate to apply for the following vacancies in the service of the Foundation. Please follow this link Vacancies – Mw. Nyerere Foundation BACKGROUND INFORMATION The Mwalimu Nyerere Foundation is a Non-Governmental Organization...
  3. kabamanya

    Fursa Fursa - mtaji TSH 10,000

    Je wewe ni mjasiriamali na hauna mtaji na unatafuta namna ya kutengeneza fedha? Je unao marafiki wako wa karibu manaochangiana vicoba na saccos? kama majibu ndio basi nakufahamisha jinsi ya kupata mitaji. Unahitaji marafiki zako sita tu na shilingi elfu 10,000 YA KITANZANIA tu. basi utaanza...
  4. kabamanya

    Institutionalized and moralized Mismanagement of political Economy

    Kwanini watu wanapiga makelele kuhusu uchumi na uendeshaji wa nchi? (Institutionalized and moralized Mismanagement of political Economy) Sababu kubwa ambayo ninadhani inatupasa kuijadili zaidi ni namna mifumo ya uchumi na uendeshaji wa dola ilivyokuwa. Tulikuwa na nchi ambayo mifumo holela...
  5. kabamanya

    Lissu anamaanisha nini kuhusu "udikteta"

    Udikteta ni dhana pana sana na pengine haina tafsiri ya moja kwa moja, nadhani maana halisi ya udikteta ni hisia. Tukisema udikteta kwa maana ya sheria je sheria hiyo imejitosheleza kujumuisha matakwa ya kila mtu na hisia za kila mtu? Je, sheria yenyewe haiwezi kuwa athari kwa hisia za...
  6. kabamanya

    Msaada kwa aliye na Katiba ya CUF

    Ndugu zangu habari za asubuhi, Nimejitokeza hapa kuwaomba mnisaidie kupata katiba ya CUF, au muundo wa uongozi wa CUF, kwa maana ya ni vyombo gani vya maamuzi vipo CUF na ni wapi wajumbe wake, ni nani alichukua nafasi ya Professor Lipumba, na Mtatiro? kama unaweza kuwa na taarifa hizi kwa...
  7. kabamanya

    politics without principle

    this is copy and pest but relevant, Mwaka 1925, Mahatma Gandhi aliwahi kuorodhesha Seven Social Sins, mojawapo ilikuwa ni politics without principle. He went on to say having politics without truth(s) to justly dictate the action creates chaos, which ultimately leads to failure and violence...
  8. kabamanya

    Mdahalo wa amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi mkuu 2015

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo kuhusu kuzingatia na kuimiza MAADILI kama nyenzo kuu ya Kudumisha Amani, Umoja na Utulivu wa Nchi Yetu kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 2015. Mdahalo huu utafanyika siku ya jumapili tarehe 16/08/2015, kuanzia saa 7:00 mchana mpaka saa 11:00 jioni...
  9. kabamanya

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM demokrasia imekua

    Demokrasia ina tabia kuu ya ushiriki na uwakilishi katika maamuzi yanayokuhusu au kuathiri kwa namna moja au nyingine. Kwa wasomi na wataalam wa demokrasia, watakubaliana na mimi kuwa hata huko Atheni ilikoanzia demokrasia tabia kuu kwakweli ilikuwa ushiriki na uwakilishi katika maamuzi...
  10. kabamanya

    KIPAUMBELE KATIBA MPYA KATIKA UCHAGUZI -------Kura yangu HAPANA PASINA KATIBA MPYA)

    Hi, I just signed this petition-- will you join me? Tanzania General ElectionsOctober 2015: vote NO for political party which will not include newconstitution agenda To: Tanzania General ElectionsOctober 2015 The petition is reallyimportant and could use our help. Click here to find out more...
  11. kabamanya

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere inakuletea Kongamano la Amani na Umoja, tarehe 08/07/2015, Wapi?

    KONGAMANO KONGAMANO, Taasisi ya Mwalimu ya Mwalimu Nyerere, inawaletea mdahalo kuhusu amani na umoja wa taifa letu, utakaofanyika tarehe 08/07/2015, kuanzia saa 08 00 mchana mpaka saa 11:00 jioni ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Julius Nyerere (JNICC). Wazungumzaji wakuu watakuwa ni Ndugu...
Back
Top Bottom