Search results

  1. M

    Mr Zumo-usiku usiingie

    Tupieni hilo jisongi basi wakuu.
  2. M

    Nafazi za kazi NMB!

    ngoja tujaribu, isije ikawa kama TRA pale diamond jubilee
  3. M

    Mr Zumo-usiku usiingie

    Habari wandugu. tafadhali mwenye wimbo wa mr zumo unaitwa usiku usiingie naomba autupie hapa jamvini au anipe link nidownload.
  4. M

    Usaili magereza

    c ndo hapo aise, maisha ya kitaa magumu, mambo hayanyooki yaan duuh!
  5. M

    Usaili magereza

    Habari wana jf. naomba kuuliza mwenye update juu ya usaili jeshi la magereza kwa post zilizotangazwa septemba mwaka huu.
  6. M

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kwa iyo wakuu hao wa magereza wanaanza na TGSD 1, ama nn.
  7. M

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Viwango vya mshahara nimeviona lakini sijajua wale wa magereza wako upande gani. uwezekano wa kupata upo wakuu mie nilitaka kujua mshiko wao kwanza.
  8. M

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Habari wana jf. naomba kujuzwa kwa anaejua ngazi za mishahara kwa maaskari magereza kuanzia mwenye elimu ya darasa la saba mpaka chuo kikuu. kama huna coments tulia kimya, sihitaji matusi.
  9. M

    Hatimae uhamiaji yametimia

    aise mkuu cheki mkaguzi msaidizi kama wametoa majina.
  10. M

    Matokeo ya Usaili Uhamiaji na Interview ya TANROADS

    umeona ee #wyt chris, 2natiana presha tu hapa.
  11. M

    Mwenye uelewa kuhusu watu walioitwa kwenye usahili-idara ya uhamiaji.

    Taarifa ya 2012 hiyo, kuweni makini msije mkazimia.
  12. M

    Updates: Tanzania Postal Bank

    Ndugu zao tpb ndo wanaitwa. ama nn?
  13. M

    Matokeo ya Usaili Uhamiaji na Interview ya TANROADS

    Mbona tunatiana presha jamani? kwa nn mnatuletea thread za 2013?
  14. M

    Nimgaya shida! wehehe mpo?

    Hapana wahehe hawako sawa na wakurya.
  15. M

    Wapi PSPF; LAPF?

    Dah! aise kweli wapo kimya sana.
  16. M

    Lapf

    Habari wadau wa jf. Kwa mwenye updates za LAPF km wameshotlist watu wa interview tufahamishane.
  17. M

    Tunatafuta wafanyakazi

    Mbona hamjielez vzur kua nyie kina nani, mko wapi na mnashughulika na nini?
Back
Top Bottom