Search results

  1. V

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Mi naona inawezekana kuna ukweli, kwa maana MCB wasingeendelea kunyamaza wakati image yao ikiharibiwa na matapeli, ila swali ninalojiuliza ni kumba, je benki inayoanza operation kwa mara ya kwanza ina nguvu kiasi gani mpaka ianze kufungua na branches? au hawa 10 watakuja anza fanya kazi baadae?
  2. V

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Tafadhali kama hutajali naomba unitumie nami pia kwa email hii: bmahende@gmail.com
  3. V

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Samahani wakuu, mimi ni mmojawapo wa waliotumiwa msg hiyo ya kuombwa rushwa ambapo nilipaswa nitoe jibu kufikia jioni na niliipata msg hiyo mida ya saa 5 as. Wakati huo nilikuwa mwishoni mwa safari kwenda kijijini ambapo isingekuwa rahisi kurudi na kwenda internet cafe kuripoti issue hiyo...
  4. V

    Pccb kunakucha lini

    Mungu atafanya kitu. Ni naamini yangu huu ni wakati ambao Mungu ataenda kuniondolea aibu na kejeli za watu ambao pengine wanadhani walipata elimu bora kuliko yangu, kwani mara nyingi Mungu amekuwa akijitokeza na kujibu shida za watu wake pale GIZA NENE linapokuwa limetanda juu yao na wasijue...
  5. V

    Nafasi pccb link hapa

    Namshukuru Baba yetu, Mungu Jehova mfalme anayeweza kuwanyanyua walio wanyonge kama mimi. Ni kweli bado safari ni ndefu sana na kuitwa katika usaili huu haina maana nimekwisha ipata nafasi hii, ila naamini Mungu huyu anayewanyeshea mvua wenye haki na wasio haki ataendelea kuwa mtetezi wangu...
  6. V

    Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

    Ngugu zangu, hili tatizo la kuhitaji kujua lugha hii kwa kina sio kwa huyo jamaa tu hata mimi pia nina hitaji kama lake ila kwa bahati mbaya mkoa niliopo (Babati, Manyara) sijaona watalaam wanaotoa huduma hii kiufasaha. Jamani naomba nieleweke hivi, kama jinsi mtoa mada alivyoeleza, suala hapa...
  7. V

    Mwenye taarifa usahili PCCB

    Mungu mwenye uwezo wote atafanya njia
  8. V

    Kwa wale wenye IMANI kwa mwenyezi MUNGU naomba kuuliza jamani!

    Nionavyo mimi ni hivi, kama umemfuata mtu akakusaidia kwa kutoa kitu kidogo, basini ni makosa na dhambi, lakini kama mtu huyohuyo kaamua kukusaidia pasipo kumpa wala kumwahidi kitu chochote sioni dhambi kama ipo hapo kwani hata Mungu muda muda mwingine huwatumia wajumbe wake ambao ni binadamu...
  9. V

    Asante Mungu, asante JF. Nimepata ajira!

    Kwakuwa umeanza kwa kumshukru Mungu umefanya vyema hivyo basi kuwa mwadilifu katika utumishi wako. Na ahimidiwe Mungu wako.:sad:
  10. V

    interview pccb

    mi naona ccm kirumba ndo penyewe :A S-cry:
Back
Top Bottom