Search results

  1. D

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Singida manispaa nije Mbeya idara sekondari
  2. D

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwl idara sekondari tubadilishane uje Singida mjini mi niende Mbeya wilaya yeyote
  3. D

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Najitahidi kuweka picha nashindwa kutokana na aina ya simu ninayotumia, nikimpata mtaalam nitamuomba anisaidie kama ataweza, asanteni
  4. D

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Habari, Ndugu zangu nimepatwa na tatizo la dharura nahitaji mkopo wa elfu 30. Marejesho baada ya wiki mbili, Riba asilimia 20, dhamana godoro jipya sijawahi kulalia la nne kwa sita. Napatikana Mbeya vijijini maeneo ya Mbalizi, jinsia yangu mwanamke.
  5. D

    Mikopo ya vitotozi incubator, mizinga ya nyuki na vifaranga vya kuku

    nitafika ofisi kwenu kwa maelezo zaidi nipo makete
  6. D

    King'amuzi kinauzwa Bei 65,000/=

    kama upo siriaz nipo mbeya natafuta balaa
  7. D

    Mashine ya kupasulia mbao

    wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
  8. D

    Nafuta Kiwnja

    Kwa wana JF wa Mbeya, natafuta kiwanja maeneo ya Salaga Uyole
  9. D

    KWANINI???? Wanaofundisha ujasiriamali si wajasiriamali

    mi nadhani kuongea na kutenda mara nyingi hakuendi sambamba ila kusikiliza na kutenda ni rahisi zaidi
  10. D

    Msikie huyu mlevi......

    nomaa sana
  11. D

    Utani Mwingine Bwana

    Mwafrika Akiendesha baiskel anasafiri, mzungu akiendesha baiskeli anafanya zoezi
  12. D

    Kuhusu Hazina

    Nasikia wanatoa mikopo yenye riba ndogo mwenye uelewa juu ya hl tunaombaa ufafanuzi wadau
  13. D

    Majina ya vitu na watu ambayo hayapaswi kutamkwa kwenye baadhi mikoa

    Lokholo! Jogoo halina shda kwetu utonwang'iye
  14. D

    Watanzania Wenzangu Tuzikumbuke Shule Zetu za Msingi Tulizosoma

    Hapana, mi wa 91-97 tumesoma na akina mago, tegemea mlowe
  15. D

    wazo la biasharaa

    Okota Makopo Au Kachonge Na Dk Akutafutie Watu Wanene Awashauri Waje Kwako Uwafanyishe Mazoezi Wakulipe K2 Kidogo Au Azima Pensel Uanze Kubuni Maua Unawauzia Wanaodarz Vitambaa
  16. D

    Wanawake wa kitanzania sijui mkoje yani....mnaboa sana

    Jamani unadeki, unafua, unaosha vyombo, unaogesha watoto wewe na cm sheee mwisho itumbukie kwenye maji alafu uitwe mzembe majanga kweli kweli ndio maana kuna misd cal
  17. D

    Kiukweli sipend ndugu nyumbani kwangu

    Ishi unashangaza kutoka moyoni, kero ya ndg? basi hata kuzaa msizae maana nao utaona kero
  18. D

    madem zetu bhana....

    Materialist
Back
Top Bottom