Search results

  1. M

    Why the west wanted the fall of gadaffi

    Pata picha halisi ya kifo cha Gadaffi Why the West Want the Fall of Muammar Gaddafi…Analysis by Jean-Paul Pougala Part 1/5 | http://www.oleafrica.com GOD BLESS AFRICA GOD BLESS TANZANIA
  2. M

    We need facts mgao unaisha lini?

    Jamani wasomi, wafanyakazi serikalini na wadau wote kwa ujumla..kama kuna mtu yupo karibu na decision makers wa nchi hii....ebu mtujuze Mgao unaisha lini maana hata juzi sikumpata vizuri mkuu wetu alikuwa anasema nini alipotembelea wizara ya Nishati na Madini kuhusu mgao......
  3. M

    Tatizo ni utendaji wa Tanesco ama ni serikali yetu?

    Wakuu wa kazi naomba mnisaidie kwa hili..maana Umeme umeshakuwa tatizo sugu ambalo sijui mchawi ni nani.....Umeme umekuwa ni tatizo kwa miaka mingi hapa Tanzania..ni asilimia chache tu ya watanzania ndio wameunganishwa kwenye Grid ya Taifa...lakini kwa hao wachache umeme umekua bado ni...
  4. M

    Huyu Mama Spika anamtisha nani na hizo kanuni zake...?

    Wakuu wa kazi naomba mnieleweshe nataka kujua kwanini tokea huyu mama aapishwe speech yake ya kwanza anasisitiza kanuni..jana wakati wakuahirisha bunge amesisitiza tena mkasome kanuni.....ana maana gani?
Back
Top Bottom