Search results

  1. L

    Naogopa kuchunwa

    sniper nimekukubali kwa jinsi ulivyochambua mzizi wa tatizo. Hayo unayosema ni kweli na yanatokea sana katika jamii yetu hasa nyakati hizi za kupenda pesa, hii thread naona itawasaidia wengi kupata ushauri. Nimeamini hii ni the home of great thinkers isipokuwa pia wamo ambao sio great thinkers...
  2. L

    Naogopa kuchunwa

    inaonekana na wewe unachuna nini?
  3. L

    Naogopa kuchunwa

    Ushauri wako ni mzuri, unaonekana unachanganua kwa akili sana.
  4. L

    Naogopa kuchunwa

    Nafahamu long tm km hyo sio ID kwani kuomba ushauri vibaya, we toa maon pita wache na wenzio watoe yao.
  5. L

    Naogopa kuchunwa

    na mie si nampatia
  6. L

    Naogopa kuchunwa

    ushauri wako mzuri pia, nitaufanyia kazi asante.
  7. L

    Naogopa kuchunwa

    mh mi huwa najua wanaume wana moyo wa kutoa kumbe nao huumia simply because huwa hawaombwi washatoa, anyway kila mmoja anavyoona yeye, nashukuru kwa ushauri wako mzuri hata mi naona kabisa anavyofanya ulimbukeni (usharobaro) mbele yangu hutaka kupitia marafiki zake kila mahali mradi wamuone.
  8. L

    Naogopa kuchunwa

    kuchunwa means kuliwa fedha
  9. L

    Naogopa kuchunwa

    Isiwe tabu kuanzisha beef na watu jamani sio kila kitu mtu aandikacho ndio real life yake....just fiction
  10. L

    Nitawezaje Kukabiliana na Majaribu Haya?

    lol we unaeomba ushauri tu hapa tayari umechemka, mi naona una nia mbaya wewe yani una chumba na sebule then ukatafuta 6 kwa 6 ili ulale na mke wa mwenzio kwa nini wasilalie hata godoro sebuleni. Usimfanyid rafikiyo k2 mbaya wakati ana shida utamuumiza sana hatokuja kusahau, tafuta gf na we...
  11. L

    Dada na mdogo wake

    Tatizo dada mtu anamwonea wivu mdogo mtu anatamani kama yeye ndo angeolewa, tatizo hakujua km mke wa prof atafariki nazani angejua asingemwacha, alichokuwa akifata kwa Prof ni pesa. Kumweka mdogo wake kwa Prof ni ili wasimpoteze mtu mwenye pesa km Prof kwenye familia hilo ndo lengo hasa la dada...
  12. L

    Wazungu bora kuliko waafrika?

    Lol hao wote wanaojibu huko juu ni wanaume mbona hakuna madada hapa ili watudhihirishie maana sie ndie tunajua kuwa km wanaume wa kibongo ni wayeyushaji au lah, nyie kina kaka wala msijitetee hapo ni sbb tu amewaponda. Ok sawa anaweza kuwa hana takwimu kudhihirisha may be aliyeyushwa sana na...
  13. L

    TZ 151 in latest Human development Index

    Issue ni kwamba hata World Bank na International Monetary Fund wanaisifia Tanzania kuwa sasa hivi iko katika kundi la Group B as a "Good student". Ila ukweli ukiangalia Tanzania kwa sasa inakuwa kulingana na GDP tu lakini upande wa elimu na afya bado tuko nyuma sana kama Mkuu ulivyoongelea hapo...
  14. L

    Kwa nini wanawake mko hivi?

    Sio wanawake tu ambao wako hivyo hata wanaume pia wana tabia hizo. Hii inatokana na tabia ya mtu sio kuwa ni wanawake wote wako hivyo. wanaume nao wakipata hela wanaacha wake zao au kujihusisha na machangu au nyumba ndogo, tena ktk takwimu nadhani wanaume wanaongoza.
  15. L

    Wandamba mpo?

    Tupo tummejaa tele, watokea wapi wewe kule ifakara kidatu, au?
  16. L

    Wazungu wezi wa ATM wamkataa mkalimani

    Mi mpaka sasa jamani nimeshindwa kuelewa walielewa vipi kama mkalimani hatafsiri ipasavyo kama hawaelewi lugha ya Kiingereza?
Back
Top Bottom