Likele Shungu
Member
- Apr 12, 2009
- 18
- 1
Isiwe tabu kuanzisha beef na watu jamani sio kila kitu mtu aandikacho ndio real life yake....just fiction
Unachunwa kwani we ngozi?
mh mi huwa najua wanaume wana moyo wa kutoa kumbe nao huumia simply because huwa hawaombwi washatoa, anyway kila mmoja anavyoona yeye, nashukuru kwa ushauri wako mzuri hata mi naona kabisa anavyofanya ulimbukeni (usharobaro) mbele yangu hutaka kupitia marafiki zake kila mahali mradi wamuone.Shungu,pole sana,maana unasikilizia machungu ya kuchunwa,hata wanaume pia huwa tunaumia sometymz,any way just tell him in a polite way,atakuelewa tu,nadhan ni ulimbuken ndo unamsumbua ili kila mtu amuone ana-drive
Mvumilie tu kama kweli unampenda and he is a huszbd to be...., maana wengine huwa wanatafuta vijisababu then uonekane wewe mbaya, one day jaribu kumuomba pesa ya mafuta usikie atacomment vipi. Pole sana.
Habari zenu wana Jamii forums, kwanza niwatakie Heri ya pasaka. Mimi ni msichana nina elimu yangu nzuri ya masters na kazi nzuri pia ila sijaolewa. Nimetokea kukutana na kijana ambaye ni polisi na anasoma kujiendeleza kielimu yani ngazi ya degree. Toka nimekuwa nae kuna tabia imekuwa inanikera ila najitahidi kumvumilia kutafuta ndoa. Mimi nina gari yeye hana hivyo tunapokutana anataka aendeshe yeye gari na anaanzisha safari zake nyingi na hela ya mafuta haweki anatumia mafuta niliyoweka ambayo yako ndani ya bajeti na mnavyojua bei ya mafuta inapanda kila siku. Naogopa kumwambia ataniona namnyanyasa sababu yeye hana gari. Naombeni ushauri wenu nimchakachue nitafute mwingine Au nimweleze ukweli na navyoboreka au nimvumilie wakati naumia naona kama nachunwa.
Yeye si anakupatia ile kitu! Nayo ni kazi kubwa dada yangu. Kama anapenda kuendesha gari mwachie lakini nae lazima alipe pale kunako 6x6 kwa kupitia kona zote.