Kuna scholarship kuanzia Bachelor's degree. Fuata maelekezo. Kila la kheri!
We are thrilled to announce that PolyU is still open for applications for its PolyU Entry Scholarship, which are available exclusively for international students. So, do not miss this chance!
To apply for an...
1. Job Search | one search. all jobs. Indeed
Jiunge nao na weka CV yako katika tovuti zao ili iwe rahisi kupeleka ombi.
Katika tovuti hii unaweza kuomba kazi Oman. Zipo za hoteli, za ndege, za ualimu, za wafanyakazi wa nyumbani na kadhalika.
Unaweza katika tovuti ya indeed kutafuta kazi...
Hoteli hii inamilikiwa na Mjerumani. Ipo KM 15 kazkazini mwa Stone Town, Zanzibar (nusu saa kwa taxi kutoka feri). Villa inaanza US$80 / TShs 175,000 kwa siku.
Serikali ya Saudi Arabia imejenga hoteli kubwa kuliko zote duniani hapo Makka.
Inategemea kufunguliwa rasmi mwakani, 2017.
Vyumba: 10,000
Tower: 12 , kila moja ina ghorofa 45
Hoteli za kula : 70
Sehemu ya kushuka helicopter: 5
Tower 10: zitatowa 4 star service
Tower 2: zitatowa 5 star...
Zana za watu wa kale (Paleolithic stone tools) zilichimbuliwa katika mapango au majabali, kusini mwa Oman, karibu na Straits of Hormuz, njia muhimu ya bahari kati ya Ghuba ya Oman na Ghuba ya Uajemi.
Hizi zana, zilifanana na zile zilizochimbuliwa Afrika. Zilitumiwa zaidi ya miaka 125,000...
Masultani wa Zanzibar waliitawala Zanzibar iliyojulikana kama "Sultanate of Zanzibar" rasmi tangu mwaka 1856.
Sultani wa Oman, Said bin Sultan, aliitawala Zanzibar kutoka Oman, tangu 1804. Kabla ya hapo, Zanzibar ilikuwa "overseas holdings" au ardhi ya nje inayomilikiwa na Oman tangu 1698. Na...
Wananchi wa kijiji cha Toraja, huko Sulawesi ya Kusini, nchini Indonesia, kila baada ya miaka mitatu, hufukua na kusafisha maiti ya ndugu zao.
Ieleweke kuwa hawafukui maiti hiyo hiyo kila miaka mitatu ila kila maiti inapozikwa, kwa wale wanafuata utamaduni huu, hufukuliwa mara moja na...
Ukija Japan, usikose kwenda kwenye maduka ya "100 Yen Shop".
Yen 100 ya Japan ni shilingi 2000 za Bongo.
Kila kitu katika maduka hayo ni Yen 100. Kuanzia nguo, vyakula, madaftari, viatu, vifaa vya nyumbani na kadhalika.
Lieutenant-Colonel Harjit Sajjan, 45, ni Waziri wa Ulinzi wa Kanada.
Akizaliwa India na kuletwa Kanada na wazazi wake akiwa na umri wa miaka mitano.
Ametumikia taifa lake la Kanada kwa miaka 26 kama Polisi na Mwanajeshi.
Kuna Mawaziri wengine watatu wenye asili ya Kihindi katika baraza...
Dear Mr. President,
Like most Tanzanians, I applaud you for going after the tax evaders and corrupted government officials. It's about time.
However, to make Tanzanians more tax compliant and to reduce corruption, serious economic and political reforms must be implemented immediately.
I...
Ulaya na Marekani, unaweza kununua soda katika vending machine.
Japan, wanauza vitu vingi zaidi kwa kutumia vending machine.
Haihitaji msaidizi, hamna wizi.
Vending machine ya kuuza soda. (USA)
Ya kuuza chupi za kike
Ya kuuza kamba
Ya kuvua samaki
Ya kuuza mwamvuli
Ya kuuza...
Baada ya mwanae wa kike kushindwa kushika mimba, mama wa Kimarekani, Sherri Dickson, 51, ameamua kumsaidia kwa kujitolea kuwa "surrogate mother".
Bibi kajifungua mjukuu wake kwa kutumia mayai ya mtoto wake wa kike na mbegu za mume wa mtoto wake.
Mtoto kazaliwa salama.
source:bbc.com
Mama wa Kimarekani mwenye umri wa miaka 51, amejifungua mjukuu wake.
Mtoto wa mama alikuwa na matatizo na kutoweza kushika mimba. Mama mzazi akaamua kuwa "surrogate mother" na kutumia mayai ya mwanae na mbegu za mume wa mtoto wake.
Mtoto kazaliwa salama na wa afya.
source:bbc.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.