Search results

  1. Sinywalulenga Muvina

    Jina la mtoto linaloanza na herufi G

    Gerson Godwin Gilbert Germine Gosbert Galapulika Galapulunduka Geofrey Gatty Gemma Germano Germina
  2. Sinywalulenga Muvina

    TANROADS wanapaswa kushtakiwa kwa ajali na vifo vinavyotokana na ubovu wa barabara

    Naunga mkono hoja hii. Barabara nyingi zina mashimo makubwa sana. Kuna siku basi la Ngomuo, likitokea Dar kwenda Kahama na mimi nikiwa ni abiria wa hilo basi lilikita shimo na kukata Engine Mounting na safari ikaishia pale. Barabara mbaya kabisa ni kutoka Misigiri - Singida hadi Igunga -...
  3. Sinywalulenga Muvina

    Natafuta Mchumba na baadae awe Mume

    Kila la heri. Kwa ninavyokufahamu, atakeyebahatika atafaidi sana
  4. Sinywalulenga Muvina

    Ushauri Kuhusu denda/romance

    Wasalimie na Nzihi na wale wa Mangalali
  5. Sinywalulenga Muvina

    Mlinzi wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

    Kaangalie kama matokeo yako ya form 2 yametoka. Hata hujajua mada inahusu nini.
  6. Sinywalulenga Muvina

    Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

    Mkuu labda wewe mhehe wa daslam. Wahehe wa iringa tumekula sana
  7. Sinywalulenga Muvina

    Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

    Mang'eng'i kwa kihehe. Watamu sana
  8. Sinywalulenga Muvina

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Watu wa Arusha wamependelewa. Mimi niko tayari kuwa nakuja kila weekend kwa ajili ya kazi ya kutafuta mtoto tu. Ila naomba niulize yafuatayo:- 1. Hoteli analipia nani? Au tutafanyia kwako? 2. Nahitaji kutoa pesa baada ya tendo la kutafuta mtoto? 3. Nini kitaendelea baada ya mimba kupatikana na...
  9. Sinywalulenga Muvina

    Wengi hatusali kwa Imani, Tunasali tuonekane

    Mkuu Inanambo, ndiyo maana nimesema kuwa wengi tunatumia imani kama vichaka, ila mioyo yetu haiko safi. Ni wabaguzi, wabinafsi n.k. wengi ni wabaguzi sana kwa watu wasio wa imani yao. Sasa sijui ni wapi walifundishwa hivyo. Maana vitabu vyetu vya dini vinatuambia tuwe na upendo kwa watu wote
  10. Sinywalulenga Muvina

    Wengi hatusali kwa Imani, Tunasali tuonekane

    Kichwa habari kinahusika! Tumezoea kuna katika mitaa yetu, kuna baadhi ya watu wanafahamika sana kwa kuhudhuria nyumba za ibada. Na huheshimika sana hata akisema jambo flani kwa sababu anaonekana ni mtu msafi na mcha Mungu. Lakini kuna wengine ni wezi, wazinzi, matapeli, waongo, wakatili...
  11. Sinywalulenga Muvina

    Alieteuliwa na Lipumba akataa uteuzi asema Lipumba si mwanachama

    Sijakuelewa, tafadhali weka mikato na nukta kwenye post yako halafu utume tena. Kuna madarasa uliruka nadhani.
  12. Sinywalulenga Muvina

    Ukweli Mchungu kuhusu anayejiita Mdogo wa Gwajima

    Nafikiri mjinga hapa ni aliyeandika "hamuna" badala ya 'hamna'. Rudi shule katoe ujinga wako kwanza.
  13. Sinywalulenga Muvina

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Shule za kata bado tatizo. Nashauri mkuu aajiri walimu wa kiingereza kwa wingi.
  14. Sinywalulenga Muvina

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Umesoma na kuelewa kweli yaliyoandika kwenye hiyo article. ????? Nakushauri rudia tena kusoma, kama lugha ni ngumu muombe jirani yako akufafanulie
  15. Sinywalulenga Muvina

    Waziri Mpango: Umaskini umepungua kwa Watanzania

    Kumbe huwa unaangalia kwenye Tv? Sio kosa lako kuongea pumba. Sisi tunashinda huko vijijini, tunaona hali halisi. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Back
Top Bottom