Search results

  1. B

    Baada ya kutaka EAC kuwa Nairobi, sasa lake Victoria kuwa bila mipaka

    hawa jamaa wajifunze kuheshimiana wenyewe kwa wenyewe kwanza. Watu kwao tu wenyewe wanabaguana leo ndio kutakuwa na mtz na mkenya kuwa kitu kimoja. Halafu wana dharau za kifala sana hao jamaa. Wao kuongea kiingereza chenye lafudhi ya kijaluo ndio wanaona wanaakili saaaaana mnaongea kiingereza...
  2. B

    Nimwacheje Mpenzi huyu?

    piga chini hiyo kitu mtu wangu itakuchoresha bure. Umegundua ni kumshukuru mungu je ungeoa. Halafu anaonekana hata nidhamu kwako hana kwa majibu anayokupa unapomta mkapime. Halafu mwanangu mwanamke ukimuonyesha kumpenda kupita kiasi kuna wengine hawajui kupendwa ukimpenda anakuona **** tena.
  3. B

    Alisafiri kamkuta mkewe ana mimba ya mtu mwingine

    kwenye mapenzi siku zote hakuna ushauri kwa kuwa huwezi kuubadilisha wa mtu kama amempenda hata umwambie amuache hawezi kufanya hivyo. Kwa huyo jamaa yeye apime mwenyewe ni kiasi gani anampenda huyo binti kwa sb yeye anajua tabia ya mkewe ilikuwaje tangu huko walikotoka. Kwa sb huyo mama naona...
  4. B

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    chite nipo tayari kukuaccess kwa kuwa mi pia ndio muda huu. Nipe contact
  5. B

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    subiri muislamu we mamaaa ukiweka kibindoni kitu kama 45 hivi utatafuta mwenyewe hata mpagani. Ndio hapo sasa unaanza kuwa mama kubwa na sidai
  6. B

    Naombwa ndoa kwa nguvu

    Kuna kitu kimoja hapa tunatakiwa tuelewe wanaJF huyu kanda2 inawezekana hajalazimishwa ndoa ila huyu mdada pengine alitaka kucheck stability ya mshkaji ili aamue moja. Huyu dada hata kama past alikuwa kicheche cha muhimu hapo ni kupima afya zenu kama wote mko poa na wewe msela muda wako wa...
  7. B

    Hodi hodi

    karibu Maria japokuwa na mimi ni mgeni ilia sio kosa kama nitakukaribisha
  8. B

    Habari zenu wanaJF?

    Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu Rgds Bacteria
Back
Top Bottom