Search results

  1. Entim

    RTO na LATRA Dodoma na Singida: Basi la Isamilo T863 DSB limejaza abiria kuliko uwezo wake

    RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
  2. Entim

    Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

    Wadau Assalaam alaikum, Tumsifu Yesu Kristu Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma. Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma. Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000 Sababu kuu Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30...
  3. Entim

    Kwanini Madaktari wana miandiko mibaya sana

    Wakuu, Umofia kwenu. Kwanini Madaktari wana miandiko mibaya isioweza kusomeka vizuri? 1. Je wanafundishwa chuoni? 2. Wanakuwa na haraka ili kuwahi wagonjwa? Madaktari karibuni
  4. Entim

    Msaada: Nataka kuanza biashara ya miti ya mbao na Mrunda Njombe na Buchosa (Mwanza)

    Wakuu, miaka 6 hadi 5 familia yangu enzi za uhai wa mzazi wetu tulikuwa na biashara Mkoani Mtwara, mtaji ulikuwa annual turnover around 0.78 billion. Baadaye tuligawagana mirathi na kila mmoja anawaza biashara zake. Binafsi ninapenda kuwekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao maeneo haya; 1...
  5. Entim

    Msaada; Natafuta spare za gari; Toyota hillux D cabin 2008

    Habari wakuu, nipo hapa Dar Naombeni msaada. Nataka kufufua gari langu natafuta hizi spare, wapi naweza kupata mpya na genuine? Bei? 5L Engine assembly (complete set ikiwa na kila kitu) Differential (complete set) Gear box (Complete) 2008 TOYOTA HILLUX D. CABIN, imported from South Africa
  6. Entim

    Msaada: Hoteli nzuri Karatu mjini

    Wakuu salama, Nipo hapa Mtwara, wiki hii ninatarajia kutoka hapa kwenda Karatu, kwa mapumziko mafupi. Ninaomba msaada hotel nzuri yenye utulivu ya kufikia Karatu Mjini. Bajeti yangu ni TZS 20,000 hadi 30,000. Mwenye uzoefu wa hapa Karatu anisaidie jina la hotel nzuri.
  7. Entim

    ARUSHA kwa Mrombo; Biashara ya nyama choma yaanza kudorora, kisa COVID 19

    Wakuu Wasalaam, Leo nimetokea Babati to Arusha, nimepita kwa Mrombo kupata nyama choma, nimekuta gumzo kubwa. Vijana wachoma nyama wakaniambia Hotuba ya leo inadai Vipimo vya maabara ya Kitaifa imeonyesha kuwa nyama ya mbuzi ina homa kali ya mapafu, aina ya korona ( COVID 19). Nipo hapa...
  8. Entim

    Mhe. Paul Makonda; ziko wapi salamu za pole kwa wafiwa wa TBC? Ulihudhuria mazishi?

    Mhe. Paul C. Makonda, Mkuu wa Mkoa, Heri ya Pasaka! Tunasikitika kukujulisha kuwa Taasisi kubwa ya TBC na Taifa kwa ujumla limepata pigo kubwa la kuondokewa na wapendwa wetu ambao ni watumishi wa TBC. Hata hivyo, tofauti na utamaduni wako wa kujitokeza hadharani mara kwa mara, umeamua kutulia...
  9. Entim

    Baba Askofu Gwajima; tunaomba msaada wa kuwaombea wagonjwa waliothibitika kuwa na COVID-19

    SHALOM Baba Askofu Josephat Gwajima, Mimi ni muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, nipo Mkoani (Mtwara). [emoji975]Huu ni muafaka wa kuwatembelea wagonjwa waliopo tawi la Hospitali ya Muhimbili (Mloganzila), hususani wale wenye maambuzi ya virusi aina ya COVID-19. [emoji975]Hawa wanahitaji...
  10. Entim

    Msaada; Basi Luxury toka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu Umofia kwenu. Ninaomba kuulizia aina ya basi LUXURY linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Jiji la Mbeya. Na mara nyingi hufika saa ngapi Mwanza? Nataka kuunganisha safari kwenda hadi Magu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Entim

    Mhe. William Lukuvi: Misungwi DC wanadhulumu ardhi za wanyonge

    Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi. Sisi wananchi wa Halmashauri ya Misungwi tunaonewa sana. Miaka ya nyuma, watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi wakiongozwa na ndugu Magesa na Nyasebwa walingia kwenye maeneo yetu (Idetemya, Ngudama, Bukumbi, Fela, Ng'ombe...
  12. Entim

    Wilaya ya Misungwi inadhulumu ardhi za wananchi

    Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, "ARDHI YA WANYONGE IMEPORWA NA TUNALAZIMIKA KULIPIA UPIMAJI SHIRIKISHI" Mhe. Kwanza tunakupongeza kwa kwa juhudi zako za kuhakikisha zoezi la upimaji shirikishi linaendeshwa kwa gharama nafuu na sisi wananchi wa Misungwi DC...
  13. Entim

    Hotel nzuri ya kufikia Singida mjini

    Wakuu, Mwenyeji au mwenye uzoefu na hoteli nzuri za Singida anisaidie. Bajet yangu ni minimum TZS 25,000 na maximum TZS 40,000 per night. Sipendi bendi za usiku, stand, nyumba za ibada, nk. Nahitaji utulivu na usalama wa hali ya juu.. Nimekuwa nikitumia hili jukwaa kupata huduma za malazi...
  14. Entim

    BASI SUPER LUXURY TABORA KWENDA ARUSHA

    Wadau naombeni msaada; basi gani zuri super luxury linatoka maeneo haya. 1. Tabora to Arusha 2. Tabora to Mbeya
  15. Entim

    Mhe. Kangi Lugola tunaomba uwamulike matrafiki wa Vituo vya Tengeru na Usa River Mkoani Arusha

    Mhe. Waziri wa Mambo ya Ndani, tunaomba sana uunde timu maalum ya kuwachunguza matrafiki wa vituo vya Tengeru na Usa River, mkoani Arusha. Wamezidi kuonea madereva na kuwabambikiza makosa yasiokuwa ya maana, ukikataa kutoa rushwa wanakuzungusha hovyo, na kukutisha kuwa wana uwezo wa kukagua gari...
  16. Entim

    Mhe. Kangi Lugola ( Mb.) tunaomba uwamulike matrafiki wa Usalama barabarani kituo cha Usa River, Mkoani Arusha.

    Mhe. Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, tunasikitika kukujulisha kuwa matrafiki wa Mkoa wa Arusha, haswa vituo vya Tengeru na Usa River wamezidi kuonea madereva. Ninaomba utume timu maalim iwachunguze, ikiwezekana uwawekee mitego maalam. Rushwa ni adui wa haki, kuonea watu barabarani kwa...
  17. Entim

    Trafiki kanitoza fine tzs 30,000 kisa kizimamoto haijakaguliwa

    Trafiki wanatoza fine kama fire extinguisher haijakaguluwa?
  18. Entim

    NATAFUTA MAKONTENA

    Wadau nina shida ya containers za futi 20 ( jumla 4) na futi 40 ( jumla 1). Naombeni msaada wapi pa kupata. Nipo Mtwara ila naweza kuyafuata Mikoani kama Dar, Lindi, Pwani..
  19. Entim

    TARURA Mwanza; majaribio ya mfumo wa parking imetawaliwa na dhuluma na rushwa

    Wadau, Mfumo wa kulipia parking jijini Mwanza unaoratibiwa na TARURA imejaa dhuluma tupu. Issue iko hivi; ukingia jijini Mwanza ukapaki gari lako sehemu wanapita watu/agents wa TARURA fasta na kupiga picha gari lako kimya kimya bila kumtafuta mwenye gari wanatuma TARURA. Wewe unakuja hujui...
  20. Entim

    Msaada: Hotel nzuri Dar, maeneo Sinza au Mwenge

    Wadau kwema, Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel nzuri maeneo ya Mwenge au Sinza. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000 hadi TZS 35,000. Yaani iwe na madhari nzuri na usalama 100%.
Back
Top Bottom