Nimeona kitatange wa jamii yetu wenye tabia za kuduku. Wao ni kuchi wa kupiga wanawake kwa mitazamo yao na kulastara wa tabia zao.
sio lazima kuleibu awe sawa kitabia na mama yake na pia Sio lazima kila mwanamke mwenye kuvaa kugesi ana tabia za fila.
Wapo waliofildhulika na ufikia kiwango cha...
habari za mchana .
moja kwa moja kwenye maada. Nina ndugu yangu ambaye alikuwa naendelea vizuri sana kimaisha. alifanikiwa kujenga nyumba ya ghorofa moja na nyumba nzuri Mbeya, Arusha na Dar es salaam. Ni mtu mwenye mke msomi ambaye naye ni mfanya kazi pia
Cha ajabu kaka yangu kaacha kazi...
nianze kwa kusema mimi sina mrengo wa chama na ni mtanzania. Kura yangu itategemea ushawishi nitakaopata wakati huo na historia na uwezo binafsi wa wagombea
pia nitangulize pongezi kwa Mh Amiri Mkuu Rais JPM. nampongeza kwenye miradi yote ya maendeleo, ukusanyaji kodi hata kwa sekta zisizo...
Shalom
Leo nimekuwa nikitafakari swala UKIMWI, homa aya ini, kansa ya kizazi na magonjwa yanayozuilika kama kuhara na kipindu pindu
Kwenye mataifa yaliyoendelea na yenye uchumi wa kati haya magonjwa yapo lakini sio tatizo kubwa kama hapa Afrika .
Zipo sababu nyingi sana zinazosababisha mambo...
Habari wakuu.
nimekuwa nikiandika makala nyingi zinazohusu uzito wa mwili. Nasukumwa sana kufanya hivi sababu huu umekuwa ukisababisha matatizo mengi sana. unene huongeza hatari ya kusukari, presha, stroke, na matatizo mengine ya afya
Moja ya vitu ambavyo binafsi imeona vinaongeza uzito ni bia...
Habari wakuu.
nimekuwa nikiandika makala nyingi zinazohusu uzito wa mwili. Nasukumwa sana kufanya hivi sababu huu umekuwa ukisababisha matatizo mengi sana. unene huongeza hatari ya kusukari, presha, stroke, na matatizo mengine ya afya
Moja ya vitu ambavyo binafsi imeona vinaongeza uzito ni bia...
Utasikia sijui kitambi cha hela au cha kuzaliwa nacho. Na mbaya zaidi hadi wadada wanavyo vitambi siku hizi. Sijui ni wanga mwingi?
Pamoja na yote unene wowote ni ugonjwa na unatakiwa kuchukiwa kwa hali na mali.
Asimilia kubwa ya unene unatokana na ulaji wa wanga kuzidi mahitaji halisi ya...
heri ya mwaka mpya kwenu wote ndugu zangu
napenda niishukuru team nzima ya uongozi ya jamii forum kwa kutupa sehemu ya kuelimishana, kepeana ushauri, kutiana moyo na hata kupata weza na mengine mengi sana
Pia nawashakuru wana jamii forum hasa jukwaa la hoja na habari mchanganyiko.
niliwahi...
nenda ukapate kitambulisho cha ujasiliamali kama uko mbezi na msigani kwenye ofisi za kata
unatakiwa kwenda na
1. 20,000 tshngs
2.kitambulisho cha uraia au mpiga kura
3. kopi ya kitambulisho cha uraia au mpiga kura
nenda ukatambuliwe mwisho kesho kutwa
asante rais wetu kwa ubunifu wa aina yake
nenda ukapate kitambulisho cha ujasiliamali kama uko mbezi na msigani kwenye ofisi za kata
unatakiwa kwenda na
1. 20,000 tshngs
2.kitambulisho cha uraia au mpiga kura
3. kopi ya kitambulisho cha uraia au mpiga kura
nenda ukatambuliwe mwisho kesho kutwa
asante rais wetu kwa ubunifu wa aina yake
Nimeona watu wakiponda sana ajira za serikali na kusema ni kupoteza muda na wengine wanashawishi wengine waache kazi kabisa
nianze tu kwa kusema huo ni upotoshaji wa kiwango chake.
Sikuchukii biashara, ila niseme ukweli kabisa swala la kuacha kazi ya ajira na kuingia kwenye biashara sio sahihi...
Niande tu kwa kusema mkataba na maagano ni vitu ambavyo ni muhimu sana kuangalia katika maisha kabla hujaingia
Kwa kiswahili sanifu agano ni tokeo la kukubaliana au kuwekeana ahadi au mapatano
Mapatano ni maafiiano, makubaliano ,agano na ahadi
Mapatano au maagano huzaa mkataba
Mkataba ni...
Heshima kwenu wakuu
Leo nimependa tushauriane kwenye mitazamo hii
Nianze tu kusema naamini kuoa/kuolewa bila kuweka misingi imara ya kuhakikisha maisha ya wawili au watatu yaani familia yanasonga ni sawa na kutafuta kifo au kuua
Ninaamini pamoja na ahadi zote mnazoweza kupeana na hasa...
heshima kwenu wote
natoa nafasi ya kuulizwa swali lolote linahusiana na vimelea vya magonjwa, upimaji wake na kinga ya mwili
kama una sehemu unatatizwa na unahitaji kufafanuliwa nitakupa ufafanuzi huo na ushauri wa nini cha kufanya
yapo magonjwa mengi sana, yale yanayoambukizwa na yale...
habari wanajamvi.
naombeni ushauri kuhusu kuoa mwanamke mnywaji wa pombe.
mimi nimekulia pombe toka utoto lakini nilipfikia miaka kama 14 niliacha mpaka sasa niko zaidi ya 28.
nimekuwa na bahati sijui nzuri au mbaya. wale ninaolenga nikiwauliza hili swali unakuta anakunywa kama sio bia basi ni...
heshima kwenu wapendwa katika Tanzania yetu nzuri
leo nakuja na ushauri kidogo.
unafurahia sikukuu ya leo na inayokuja, usisahau kuwakumbuka wale wanaokuangalia. furahi nao kwa kuwatumia pesa ya kula kitu kizuri wakipenacho.
hii itakuletea furaha na amani zaidi na pia ni jambo la kibinadamu...
habari mliobarikiwa upendo, amani, umoja licha ya kuwa na vyama tofauti na utu ambao kwa jina la ujumla tunaitwa watanzania
leo nakuja na kichwa kama kilivyoandikwa hapo juu
kwa maisha yalivyo sasa vijana wengi wa mijini huchelewa kuoa kwa kiasi fulani ukilinganisha na wa vijijini. hii...
habari
nimeanzisha huu uzi mahsusi kabisa kwa ajili ya wale wanyonge walionyongeka
kunyongeaka ni nini? kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa mnyonge sababu ya haki zako kupindishwa kwa namna fulani.
hapa utafaniiwaje.
hapa utapewa ushauri wa namna ya kwenda na jambo lako kwa uwazi na wajumbe...
Watu wengi wamekuwa wakishangaa kauli za Rais wetu.
nyingi ni za kawaida sana kwa aina ya kundi ambalo Rais yupo. hawa watu wanahitaji akili nyingi sana kuwaelewa
Mimi nimeona kwenye mambo mengi nashabihiana naye sana tabia kwa hiyo namuelewa sana na ningependa kuwapa ujuzi wa kumuelewa Rais ili...
heshima kwenu wote wakubwa na wadogo
leo nakuja na maada ya duniahaina huruma na usikae hata siku moja kusubiri huruma.
nimedhirisha hili katika mambo mengi sana. niaelezea kiunaga ubaga maeneo machache niliyojifunza na kuona uhalisi wa hili
1. upande wa siasa. tuna wanasiasa wetu wanaojua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.