Search results

  1. sungura1980

    Natamani Nigeria wafungwe goli mia

    Wapendwa wanasport,najua mtanirushia mawe kuwa sina uzalendo,lakini hivo ndivo ninavotamani,Nigeria wafungwe hata goli mia bila majibu! Nimesikitishwa na kitendo chao cha kugomea kufanya mazoezi kisa eti wanadai posho??Aibu na kwa kweli sio kitendo cha uzalendo,wafungwe tu warudi!Sikatai kuwa...
  2. sungura1980

    Happy mama's day

    Wapendwa wana JF,tunapoadhimisha siku ya leo ya wamama/wanawake duniani,nachukua nafasi hii kukushukuru mama yangu mpendwa kwa kunileta duniani,kunilea na kunifundisha!Nakupenda mama! Pia napenda kutambua mchango wa wamama wote wa JF katika maisha yangu na maisha ya jamii kwa ujumla!Mama ni...
  3. sungura1980

    Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

    Toka mwanzo wa ulimwengu,waliumbwa wawili,mke na mme Bantu lady na Sungura 1980! Hivyo kilichounganishwa,,mwanadamu hasikitenganishe!Nafurahi kuwa na wewe malkia wangu Bantu lady,asante kwa kulipokea pendo langu! Nakupenda nakupenda nakupenda malkia wangu Bantu lady!
  4. sungura1980

    Operation Tokemeza Ujangili:Wanasiasa wasiguswe kwa namna yoyote

    Wapendwa wana JF Kamati iliyoundwa kuchunguza yaliyojiri katika operation tokemeza Ujangili katika ripoti iliyowasilishwa jana bungeni aya ya 3:1:1 romans iii,Majibu ya kamati kuhusu majibu ya wizara ya maliasili na utalii.Kwamba kamati ilibaini kuwa kuna kauli na maelekezo yalitolewa na baadhi...
  5. sungura1980

    Je wajua?

    Konokono wote ni "Hermaphrodites" Kwa maana wanamiliki jinsia mbili (kiume na kike). Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakayeruhusu kupandwa ndiye atataga mayai. Fikiria binadamu tungekuwa kama konokono na hizi akili zetu ingekuwaje? Mkeo ukimzingua anakuvizia umelala anakupachika mimba.Mfano...
  6. sungura1980

    Utafiti;Matumizi ya viungo vya uzazi

    Kwa mujibu wa tafiti ni kwamba;Kama umeshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 8 tofauti,huna haki ya kuita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali ni mali ya UMMA chini ya Wizara ya Utalii na Burudani. Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya UMOJA WA MATAIFA kitengo cha misaada. Zaidi ya 15 unastahili...
  7. sungura1980

    Unampenda kiasi gani mkeo?

    Mchungaji alitangaza kila mtu atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake...basi watu wakaanza kutoa Mokoyo akatoa 50,000/ Baba V 30,000 Erickb52 10,000 kiwatengu 20,000 mwekundu 100,000 Kaizer 50,000 Arushaone 10,000 na wengine wengi Bishanga yeye alitoa shilingi hamsini(50) ...
  8. sungura1980

    Unatafuta mume,soma hapa

    A lady went to a newspaper firm to publish her story saying "I'm looking for a man who won't beat me, leave me and who will satisfy me in bed".Two weeks later she heard a knock on her door as she opened, she saw a man with no arms and legs and she asked, "How can I help you?" The guy quickly...
  9. sungura1980

    Sijui kutaga mayai lakini najua kutambua lipi yai bovu

    Wapendwa wana JF,tukiwa tunaadhimisha miaka kadhaa sasa toka baba wa taifa atutoke,ebu kidogo tutafakari aliyowahi kusema baba yetu wa taifa. Katika mojawapo wa aliyowahi kusema ni huu alioiita msemo wa kikaburu kwamba,''Sijui kutengeneza/kutaga mayai lakini najua kutambua yapi ni mayai...
  10. sungura1980

    Wazo langu kuhusu mgomo wa wahandishi wa habari kwa wizara ya habari

    Kumekuwa na tamko la wadau wa habari kuhusu serikali kuyafungia magazeti ya Mwanahalisi,Mwananchi na Mtanzania,ambapo pamoja na mambo mengine wameazimia kutotangaza habari zozote zinazomhusu waziri wa habari Dr Fenela. Nimekuwa nikijiuliza maswali hivi lile tamko la kutotangaza habari kuhusu...
  11. sungura1980

    Kwa wenye wapenzi na wasiokuwa nao

    Kutafuta mpenzi, ni kazi, na kumpata mpenzi, kuna kazi, kua na mpenzi, nako kazi, lakini kaa ucwe na mpenzi uone kazi. Sasa kua makini na wako mpenzi, nje kuna wadokozi na wezi, Jitahidi mtunze, muenzi na umuhifadhi. ujumbe huu unawahusu wasiokuwa na wapenzi na wale walio na wapenzi...
  12. sungura1980

    Nilichokiona uwanja wa taifa mechi ya Yanga na Ashanti

    Napenda kuwapongeza wachezaji,wanachama na mashabiki wa Yanga kwa ushindi wa kishindo wa goli 5 kwa 1. 1: Ukaguzi wa tiketi na rushwa. Kuna wakati niliwahi kwenda kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba,basi nikakata tiketi ya 15,000 lakini pale jukwaani nilipokaa,asilimia kubwa ya...
  13. sungura1980

    Picha yangu leo

    Nimeipenda hii,
  14. sungura1980

    Upimwaji na tathimini ya viwanja Kisopwa

    Wana JF naomba msaada kama kuna mtu anayeelewa zoezi linaloendelea la eti tathimini ya viwanja Kisopwa(mradi wa kuendeleza ardhi Kisarawe) naomba anipe ufafanuzi wa zoezi hilo kama ni halali na taratibu zikoje. Kijiji cha Kisopwa kiko jirani na Muluganzira pale panapotegemewa kujengwa chuo...
Back
Top Bottom