Search results

  1. A

    Natafuta kontena ya futi 2o au 40

    Wadau mimi nipo Arusha/Moshi ninatafuta kontena la kununua! Kama unajua nitapata vipi nijuze! 0755 272776
  2. A

    Vifaa vya maabara ya fizikia kidato cha sita

    Wadau kwema naomba kupata list ya vifaa vinavyotumika katika maabara ya Fizikia kidato cha Sita kwani ninataka kufungua maabara ya somo hilo ! Ahsanteni wadau
  3. A

    Natafuta kiwanja kilicho pimwa boma , njia panda moshi,mbwaruki,rau au msaranga

    Waduu kwema? Natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo ya Boma,Njia panda, Rau,mbwaruki au msaranga! Simu 0755 272776
  4. A

    Ninauza kiwanja maeneo ya bonite-moshi

    Kiwanja kina hatua Ishirini kwa Ishirini! Kipo barabarani kinafaa kwa biashara au makazi! Umeme upo hapo na maji yapo! Bei maelewano sitaki Dalali . Tel 0755 272776:embarassed2:
  5. A

    Naomba kujua bei ya kununua kiwanja maeneo ya bonite mkoani kilimanjaro

    Wadau naomba kujua bei ya kununua kiwanja bonite mkoani kilimanjaro hatua 20 kwa 40.
  6. A

    Ninahitaji kuku wa kienyeji anayetaga mayai zaidi ya moja kwa siku

    Wadau nimesikia kuna kuku wa kienyeji wanaweza taga yai moja na zaidi kwa siku, Kama unafahamu wapi walipo naomba unijulishe.
  7. A

    Kwa anayetaka kumuhamisha mwanafunzi kwenda shule ya bweni ya serikali au private nzuri

    Wandugu kama unataka kumwamisha mwanafunzi kutoka shule moja kwenda shule nyingine. Nko tayari kukusaidia Piga 0755272776
  8. A

    Naomba kujua bei ya kununua kiwanja maeneo ya bonite mkoani kilimanjaro

    Wadau naomba munisaidie ninataka kununua kiwanja maeneo ya Bonite mkoani kilimanjaro. Je hatua 20 kwa 40 ni bei gani? Ahsanteni wakuu
  9. A

    Nifanye nini ili mbwa wangu awe mkali na abweke usiku?

    Ninaomba kufahamu ninaye mbwa mdogo kiasi karibu aanze kulinda usiku ,Je ? nifanye nini ili awe mkali na kubweka usiku. Wadau naomba michango yenu.
  10. A

    Bei ya viwanja maeneo ya bonite moshi.

    Wadau nahitaji kiwanja maeneo ya Bonite mkoani kilimanjaro naomba kujua bei kwa kiwanja cha hatua 40 kwa 20!
  11. A

    Natafuta kazi kama mwalimu wa hisabati na fizikia

    Waungwana Mimi ni mwalimu wa Advanced mathematics na Physics! Natafuta kazi ya kufundisha katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. Contact 0755 272776
  12. A

    Naomba kujua garama ya kuchimba kisima mkoani kilimanjaro

    Waungwana Naomba MSAADA wenu! Mimi ni mkazi wa kilimanjaro -Uru mawella Naomba kujua garama ya kuchimba kisima cha maji maeneo hayo kwani ninashida kubwa ya maji! Ahsanteni nategemea msaada kutoka kwenu! Kwani nahitaji kisima cha kuchimba kwa mkono au mashine!
Back
Top Bottom