Mzee ni kama alikuwa na hasira zake na watu binafsi akaamua kuwaangamiza wengi, mama akiona inafaa atawakumbuka maana hawakuwa na kosa lolote kupunguziwa mishahara Yao.
Ni mwishoni MWA mwaka Jana siku ya jumapili nikiwa natokea Moro kuja Dom,. Kawaida kuna washkaji tunakuwaga tunakutana jioni Kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Nikawapigia simu kujua location waliyopo, wakanijuza, nikasogea. Nikawakuta wako na warembo wawili wakila bia. Kati ya Wale walembo...
Ila nchi hii kuna watu wanatetewa na wengine wanaonewa. Huyu jamaa kwa taarifa hizi angekuwa wale wanaonewa walahi angekamatwa atoe ushahidi huo na onyeshe yote hayo. Ila nashindwa kuelewa iweje huyu ajue yote haya na intelijensia ya nchi isijue. Hivi wale watu hatari wa nchi mwisho wake umekuwaje.
Binafsi huu waraka umenifariji sana na hakika yesu atafufuka na wenye mioyo ya dhihaka kwa wananchi wao. Eti maisha bora na mtetezi wa wanyonge huku hali ya maisha imepanda sana na wakati huo unafanya kaazi sana lakini hupati hata pesa ya kutosheleza kulisha familia kwa siku moja tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.