Search results

  1. MAKIHE

    Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

    Mbona Ndesamburo hayupo kwa waliokaa kimya?
  2. MAKIHE

    Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

    Kukaa kimya hata maovu yakitendeka pasipo kuongea chochote nayo ni Busara???
  3. MAKIHE

    UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

    R Ufinyu wa Fikra, Kukariri unayolishwa na wengine, Uvivu wa kutumia Akili barabaraba. Unachotakiwa ufahamu hii ni nchi ya kidemokrasia (yeyote awe Mtu/Watu/Taasisi) wanahaki za kisiasa zilizo sawa na wengine kama Katiba inavyoelekeza. Hakuna Hati Miliki ya Ukawa eti wao ndio wapinzan...
  4. MAKIHE

    nisaidieni wanaforum, huu ni utapeli ama ndo kazi zilivyo?

    TAPELI JINA LAKE UNALIWEKA KAPUNI? Ili iweje?
  5. MAKIHE

    Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

    We kweli fuso, kwan kukaa kijijini ndio kuwa hoi kiuchumi?
  6. MAKIHE

    Sikukuu ya Eid el Hajj itakua lini?

    Tarehe za kukadiriwa 1432 [BH]: 6 Novemba 2011 1433 [BH]: 26 Oktoba 2012 1434 [BH]: 15 Oktoba 2013 1435 [BH]: 4 Oktoba 2014 1436 [BH]: 23 Septemba 2015 1437 [BH]: 11 Septemba 2016 1438 [BH]: 1 Septemba 2017 1439 [BH]: 21 Agosti 2018 1440 [BH]: 11 Agosti 2019 1441 [BH]: 31 Julai 2020
  7. MAKIHE

    Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

    Vidole havilingani!
  8. MAKIHE

    Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana uhusiano gani?

    Mwanzo nilikuwa najuaga Rizwan ni Fisadi, anatumia cheo cha baba ake vibaya. Ila ni hivi karibuni tu nilipewa habar ya zake na mtu wa karibu sana! Tuache Majungu Riz mnamsingizia mengi!!
  9. MAKIHE

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Kuna Sudan ana wasubiri na Msumbiji! Mshindi wa mechi ya zimbabwe na tz anakutana na mshindi kati ya sudan na msumbiji ambayo msumbiji kashinda 5 leo!
  10. MAKIHE

    Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

    Mshirikishe mkeo, ili akuone uhodar
Back
Top Bottom