Search results

  1. L

    Spika wa Bunge Makinda Amegoma kufungua Barabara Ipitiayo Nyumbanikwake?

    mna uhakika ile njia kafunga yeye mhe. anna makinda??? the truth is ile njia imefungwa na TISS kwa sababu 'wanazozijua' wao hao TISS.
  2. L

    Kila nikimkamata ananizushia...!

    katika ndoa ni lazima kuaminiana. nobody is perfect. wewe unatafuta nini kwenye simu ya mwenzio? simu zimevunja ndoa nyingi, un - neccessarily. kuchamba kwingi kutoka na m*vi. ushauri wangu; mpaka amekuoa ww, ujue anakupenda. kwani ameacha wangapi? acha kupekua simu ya mumeo.
  3. L

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    namba yake Katibu wa Bunge hii hapa 0754 997 645 Dr. Kashillilah TD.
  4. L

    Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    ni kweli mzee JB ametutoka. hayupo tena duniani.
  5. L

    Wabunge 'Wenye Nidhamu'

    nimeipenda hii thread.
  6. L

    Nashindwa kumtofautisha Shibuda na popo!

    huyo ndo john magalle shibuda
  7. L

    Namba yangu ya uanachama ni CDM 0442337; Deo Filikunjombe kura yangu ipo kwako

    tatizo la watawala wetu wanadhani kuua mpaka upige risasi. kumbe hata kutoa taifa la wajinga nako ni kufanya mauaji kwa wananchi wetu.
  8. L

    Namba yangu ya uanachama ni CDM 0442337; Deo Filikunjombe kura yangu ipo kwako

    u've made my day... maana leo siku nzima sijacheka toka asubuhi. umenifanya nicheke sana. nimeipenda hii ya "wanyama walio hai..."
  9. L

    Namba yangu ya uanachama ni CDM 0442337; Deo Filikunjombe kura yangu ipo kwako

    mjinga ni nani? anayechangia elimu au anayechangia harusi?
  10. L

    Namba yangu ya uanachama ni CDM 0442337; Deo Filikunjombe kura yangu ipo kwako

    na yupo sahihi. pamoja na rais mzuri, tunahitaji mawaziri wachapa kazi, na wabunge makini pia.
  11. L

    Namba yangu ya uanachama ni CDM 0442337; Deo Filikunjombe kura yangu ipo kwako

    Filikunjombe mwenyewe, ukiongea naye wala hana mpango wa kugombea huo Urais. yy anasema ubunge unamtosha.
  12. L

    Mgogoro wa Gesi Mtwara: Zitto Kabwe anapotosha Umma

    Tutaendelea KUMWAMINI Zitto mpaka hapo SERIKALI mtakapo kubali KUUTOA HUO MKATABA wa kujenga hilo bomba la gesi from Mtwara to DSM.
  13. L

    Tradecar view na VALUE PLANNER CO.,LTD

    befoward.co.jp are simply the best.
  14. L

    Tuwache kulalamika maisha Magumu na hawa watoto wa shule wamlalamikie nani?

    ndo maana filikunjombe haachi kupiga kelele bungeni, hata ningekuwa mimi.
  15. L

    Mh. Zitto Kabwe, kwa hili la kutozwa kodi kuchangia TBC... Hapana!

    zitto kasema wakati umefika sasa kwa watu kuchangia public broadcasting (siyo lazima iwe tbc). tena michango hiyo itatokana na levy fee kwenye decoders.
  16. L

    Mh. Zitto Kabwe, kwa hili la kutozwa kodi kuchangia TBC... Hapana!

    wabongo bwana! ndo maana jk anapata shida kuwaongoza.
  17. L

    Shujaa wako mwaka 2012

    deo filikunjombe ni shujaa wetu ludewa.
Back
Top Bottom