Search results

  1. S

    Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

    Huyu waziri sio Medical doctor hajui udaktari unaanzia wapi. after yeye emetwishwa tu mzigo wa wizara kama asante kutoka kwa first lady .
  2. S

    Scholarships for tanzanians.

    Hata mie nimejaribu na kupewa maelekezo kama hayo, kudeposit $70, lakini mie nina wasiwasi, sidhani kama kuna chuo kinatumia account ya mtu binafsi, mmhh!
  3. S

    Kikao cha JE Saccos

    Naipenda idea ya Saccos , nami pia nitajiunga soon!
  4. S

    Magonjwa haya ya zinaa

    Leprosy ni Ukoma, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na vimelea waitwao (Mycobacterium leprae au M.Leprae), huathiri ngozi na mishipa ya fahamu. Ugonjwa huu huunezwa kwa njia ya hewa, mgonjwa wa ukoma ambaye haajanza matibabu akipumua au kupiga chafya husambaza vimelea hivyo kwenye hewa...
Back
Top Bottom