Search results

  1. M

    Issa Michuzi na vekesheni

    Waambie hawa wapuuzi, wamekosa ya kujadili humu. Kama hamjui fani zinaendeshwaje, mkae kimya sio kuropoka tu. Huyu ni msanii wa fani ya blog, na anatumia lugha mbalimbali kunakshi blog yake, kwani mtu akienda kwenye msafara wa rais ndo hatakiwi kujipumzisha? hata mlinzi wa rais anapata time ya...
  2. M

    Baked Beans!

    kuachia shuzi hamna noma, ila noma ni pale unapojua uko peke yako, then unaachia mashuzi kwa staili ya kipekee (kuinua **** moja na kulipua shuzi), mwisho unagundua washkaji walikuwa wamenyuti wanakupimia tu huku wanakula hewa kali! na hata sijui jamaa walifichaje kicheko!
  3. M

    Baked Beans!

    Nimecheka sina mbavu, Du balaa tupu!
  4. M

    Intercom Mishap..

    This boy has just taken his girlfriend back to her home after being out together, and when they reach the front door he leans with one hand on the wall and says to her, "Sweetie, why don't you give me a blowjob?" "What? You're crazy!" she said. "Look, don't worry," he said. "It will be...
  5. M

    EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

    nyamayao hii msg yako ya 'women fall in love' mbona kama ya yese wa dhb? au ndo walewale?
  6. M

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Mtu wangu yaani bado unauliza?? yaani kama ni mimi hata sina haja ya kufikiri mara 2, amemegwa, tena na wawili, huyo kweli ni mke ndugu yangu! Hakuna mapenzi ya hiv, huo utakua ni ulimbukeni wa wanawake! Zinduka ndugu, huyo hakufai, tafuti mwingine!
  7. M

    Laughter series: No smoking

    Asante mkuu, hili tangazo nitaweka ofisini kwangu maana wamezidi kuvuta sigara zao...!!
  8. M

    Tafadhali nisaidieni hesabu hii

    Naona bado hamjamuelewa mchiziz hapo juu, swali liko hivi, kila mtu alitoa buku 10, na yule muhudumu aliwarudishia kila mtu buku (Zile buku 3), hii inaleta maana kuwa kila mtu alitoa buku 9, na 9 mara 3 ni elfu 27,000 na yule muhudumu alibaki na buku 2 hivo inakuwa jumla 29000, buku iko wapi?
  9. M

    Majina halisi ya watu mashuhuri

    Koku - Kokubanza, Kokushubira, Kokugonza, Kokumanya, etc Hili ni maarufu sana jamani, msilisahau!1
Back
Top Bottom