Habari wanajamvi leo nilikuwa natoka msoma naelekea mwanza bahati nzuri nikakuta rais akihutubia wananchi Bunda.kitu kilicho nivutia na kunishangaza mpk kuandika huu uzi ni walinzi wake tumezoea kuwaona jwtz wakiwa kwenye sare tulizo zizoea leo nimeona sare tofauti kbs hivi wale ni wanajeshi wa...
Wanajamvini miaka 10 ya Mh Mrisho mimi sikumbuki hata iliishaje nilikuja kustukia tu uchaguzi Mara uncle Magu siku zimegoma kbs kusogea au majira yamebadilika masaa yameongezwa badala ya 24 yamekuwa 48 sisi taarifa hatuna
Hbr wanajamvi
Nakumbuka enzi za uongozi wa Mh JK binafsi nilikuwa nachukia sana utawala wake kutokana na tuhuma za rushwa ufisadi.Cha kushangaza zaidi ezi za JK pamoja na hizo tuhuma maisha yalikuwa mepesi sana Mfuko wa saruji hapa mkoani kwetu ulikuwa Tsh 12500 leo 15000 Bati 12000-14000 leo...
Habari wanajamvi,
Leo rafiki yangu yamemfika ana watoto wake wawili mmoja ana umri wa miaka 4 wingine ana umri wa mwaka na nusu hivi.
Huwa analala nao chumbani kwake yule mkubwa analala kwenye kitanda chake wao wanalala kitanda kimoja na huyu mdogo.
Sasa usiku wa leo jamaa kaamsha kitu cha...
Nilikuwa niko bush mmoja hivi nikabahatika kukutana na vitu hivyo kwa mzee mmoja ambaye alikuwa mwenyeji wangu akaanipa story yake mwenyewe anasema ni mmoja ya bidhaa walizo ziacha wajerumani ni jiko na kufuli ila kilicho nivutia ni jiko halihitaji kuwa na kiberiti ukigusisha msumari linawaka
Hbr wanajamvi ningependa kufahamu kutoka kwenu wanajamvi kuhusiana na hii taasisi inayoitwa baypot kuhusu utoaji wao wa mkopo baada ya kukamilisha vigezo vyote mikopo yao inachukuwa siku ngapi hadi unapata mkopo na je?hawa watu si wababaishaji vipi kuhusiana na rushwa
Mbinga kurugenzi saccos ni jipu lililoiva lakini halina mtumbuaji
ubabaishaji kwenye hii saccos umeshamili imefika baadhi ya wanachama wanaamua kujitoa.Na hata ukijitoa shughuli kubwa ni kwenye malipo yako utasota kufuatilia pesa yako zaidi ya miezi 4 unazungusshwa wanakupa majibu mapesi mepesi...
habari zenu wanajamvi natumai muwazima wote
jamani mimi ninatatizo katika simu yangu aina ya tecno c8 tatizo lenyewe nikwamba ninapo mpigia simu mtu akipokea tunaongea vizuri tu shida inakuja pale ninapo kata simu nikija kuangalia no iliyopigwa ile no siikuti na kama nimepiga mimi nakuta 0 haipo...
Habari wanajamvi
Jamani shida yangu ni mmoja tu nahitaji ni app gani ambayo itaniwezesha ili kuweza kuhuck simu ya wife maana mmmh please serious mwenye
uelewa
Habari wanajamvi
Jamani shida yangu ni mmoja tu nahitaji ni app gani ambayo itaniwezesha ili kuweza kuhuck simu ya wife maana mmmh please serious mwenye
uelewa
Habari wana jamvi,
Huwa najiuliza sana hivi hili shirika LA viwango Tanzania wanafanya kazi ipi maana utasikia zimekamatwa bidhaa bandia na TFDA tena madukani na vimepitia bandari yetu au kupitia kwenye mipaka yetu huwa najiuliza sana hawa TBS kazi yao ni ipi sasa.
Maana hata ukienda madukani...
Hbr wanajamvi kuna ndugu yangu kaolewa na raia wa kigeni ambaye anaishi nchi kwa kibari kilicho isha mda wake na juzi katiwa mbaron yy na mme wake.je sheria kwa upande wake muolewaji inasemaje?
habari zenu wanajamvi
jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu...
Hbr wanajamvi
kama kunamdada aliye zaliwa 08/02/1980 mpaka sasa hajapata mme basi anipm na shaka aondoe amempata ila baadaye ntahitaji uthibitisho asante siku njema
Hbr wanajf
napenda kuwatadhalisha wanaotumia nmb mobile kuna wizi mkubwa ndani yake.mimi nilijiunga na huduma hii kwa line ya airtel baada ya muda line yangu ikaanza kunisumbua mara inakufa naenda ku-renew hivi karibuni ikafa tena nikaamua kuipotezea leo nikaenda bank ilinikachukue umatemate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.