Search results

  1. M

    Job Junction Tz

    😂😂😂😂
  2. M

    Job Junction Tz

    Kumbe ni matapeli Mkuu? O.M.G wamempigia ndugu yangu mmoja kaambiwa aende kesho kwa ajili ya kufanya registration ila kaambiwa aende na shilingi elfu 30 Tsh basi ngoja nimwambie aachane nao japo sijui kama atanielewa maana anapambana sana na kutafuta ajira.
  3. M

    Phone4Sale Nauza Tecno Phantom 8 Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana

    Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8 Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB MaH-3500 Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa na mm mwenyewe Mwanamke, kama mnavyojua Wanawake hua tuko vizuri kwenye utunzaji. Camera: Camera...
  4. M

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Shukran sana Mkuu basi nitaenda ofisin kwao
  5. M

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Naomba menu ya hii Mkuu, Shukran.
  6. M

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Ndugu zangu wanaJF najua humu ndani kuna Ma-Managers mbali mbali kwenye Taasis za Umma na Binafsi, humu ndani kuna Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa yote, kuna Wabunge humu, kuna Ma -HR's mbali mbali, kuna Ma-C.E.O. mbali mbali, kuna Waheshimiwa Mawaziri mbali mbali, kuna Madaktari wakubwa, kuna Wakuu...
  7. M

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Dah😭umeongea kwa uchungu sana mm kama mwanamke mwenzako nimeguswa sana. Connection za kazi sina ila ningekua nazo ningekusaidia Vip umeshapata kazi mpaka sasa????ushapata yoyote aliekusaidia kupata kazi?? Ingia PM yako nikutumie ata Laki 1 niliyojaaliwa nayo kwakua uko Mama pamoja na...
  8. M

    Nahitaji mume Muislam aliye-serious na ndoa

    Utampata tu alie sahihi kwako na alie na kheyri nawewe, kila la kheri🙏
  9. M

    Nahitaji ndoa ya uke wenza

    Mda mwingine ni busara kuficha ujinga wako, kweli ata wapumbavu nao wanazeeka
  10. M

    Nahitaji ndoa ya uke wenza

    Usizungumze usilolijua mm mbona ni mke wa Kwanza na nimekaribisha wenzangu wanne? Ni kiasi cha kumshiba MUUMBA tu na kua na Subra katika ndoa na Mume akiwa muadilifu wala hakuna shida katika ukewenza
  11. M

    Nahitaji ndoa ya uke wenza

    Sio kila Safari inayohitaji kusafiri pamoja kama ni safari za kiofisi je? Ifike mahali muwe mnaheshimu thread za watu
  12. M

    Nahitaji ndoa ya uke wenza

    Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu, Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo...
  13. M

    Watoto Kutekwa Tabata Kimanga Maeneo ya Savana

    Habari Wapendwa Wazazi/Walezi, Nawaomba muwe makini na watoto wenu wanaoenda Shuleni,Madrassa na Tuition,Kumekua na hali ya Sintofahamu maeneo ya Tabata Kimanga sehemu moja iitwayo Savanna au Kwa Bibi Khalifah- kuna mmama mmoja mweusi anaesemekana akipendelea kuvaa sketi,blauzi na mtandio...
  14. M

    Tecno boom J8, Msaada!

    ata me nimenunua boom j8 yangu last week na hilo tatizo la touch kua ngumu nimeliona kwakweli inanitia simanzi,,nashindwa kuelewa ni kwanini me yangu nimeinunulia kwa mawakala wao tecno pale posta jumbo shop na touch ni ngumu kama unavyosema ngoja wataalam waje labda tutapata suluhu
  15. M

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Asante sana mkuu hapo nimekuelewa vizuri
  16. M

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Iyo kidogo kwangu itakua ngumu kubadili line nitapoteza contact's muhimu..au line inabadilishwa lakn namba yako inakua ile ile ya siku zote?..nisamehe kwa maswali mengi
  17. M

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Ahsante sana mkuu kwaiyo itanibidi nibadili line na kutumia line yao ya 4G?
  18. M

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Ahsante mkuu kwaiyo itanibidi nibadili line na kutumia line yao ya 4G?
  19. M

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Nielekezeni namna ya kuipata iyo 4G kwa mtandao wa tigo natumia Samsung galaxy s5
Back
Top Bottom