habari za jioni wapendwa.
Natafuta kitabu cha HS Code (EAC - COMMON EXTERNAL TARIFF 2012 VERSION)
Please anaejua wapi naweza kukipata naomba anijulishe. nimetafuta sana hadi kwenye duka la vitabu la serikali pale posta hakuna. hata kwa mtu binafsi anayeweza kuniuzia tafadhali tuwasiliane kwa...
nyumba nzuri self cintainer ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master, sebule, dining, jiko, choo, ipo ndani ya fence. soko maziwa kigamboni. kituoni ni mwendo wa dk 2, maji ya kutosha. bei ni tshs 350,000. kodi kuanzia miezi sita. kwa atakaehitaji tuwasiliane kwa namba 0758174949
Habari zenu wapendwa, kuna vyumba na sebule vinapangishwa kigamboni eneo la soko maziwa mbele kidogo ya tungi kwa shilingi 70,000/ kwa mwezi. kodi ni kuanzia miezi sita. maji yanapatikana masaa 24. ipo karibu kabisa na kituo ni mwendo wa dk 2/3 kufika kituoni. kwa anaehitaji ani pm
Napenda kukutia moyo rafiki, elfu 30 ni pesa na unaweza kufanya biashara. usikatishwe tamaa na watu wasiopenda kusaidia wenzao. si lazima uanze biashara na mamilioni. nakusihi angalia unachoweza kufanya kwa ushauri uliotolewa na wenye busara huko juu. pia waweza enda kkoo kwenye maduka ya jumla...
Tajiri sana, naenda kidini ila siku ya mwisho kutakuwa na maonyesho ndiyo maana tumeshauriwa kubeba bidhaa zetu za kitanzania. najua sitaambulia patupu.
Kuna trip ya kwenda kigali mwezi wa nane kwa ajili ya mkutano wa kidini. tumeambiwa tubebe bidhaa za kitanzania ambazo tunaweza kwenda uza huko. naomba ushauri wenu nipeleke nini?
Nauza kiwanja/shamba 22/22, hakijapimwa kipo karibu na barabara, kituo cha polisi, zahanati na shule ya msingi. kipo eneo la mapinga. bei ni milioni 3 na maongezi yapo. kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0716174949/0758174949 ili nikupeleke ukakione.
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20/20. kipo karibu na shule ya mshingi na kituo cha polisi cha mapinga.
bei ni milioni 5. kama upo tayari tuwasiliane kwa 0716 174949 ili nikupeleke ukakione.
Nashukuru kwa wote mliochangia na kunifanya nijue wapi pa kuanzia.
Pia napenda kuwajibu wapendwa waliokuwa na mashaka kuwa nadanganya kwa kumsingizia hg wangu, ukweli ni kuwa binafsi sioni 7bu ya kuficha ugonjwa kwani hakuna ugonjwa wa kuficha dunia ya sasa. na tena napenda kuwajulisha kuwa...
Binti yangu wa kazi ana uvimbe kwenye njia ya haja kubwa, siyo vinyama ni uvimbe tena mgumu kabisa na anasema unamuuma, sasa ndugu zangu naombeni mnipe ushauri kama kuna doctor au hospital naweza mpeleka na kupata matibabu.
asanteni
hawakuja kurekodi, walialikwa na kundi la Accacia singers waliokuwa wanazindua video yao ya pili siku ya tarehe 8/5/2011 pale pta sabasaba.
kiukweli inauma sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.