Search results

  1. M

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Aliposema sema wakirudia tena kusema ranchi ni za kwangu kazivamieni mchukue mbona mbona mlizimika? Acha porojo wewe kaoge ulale
  2. M

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Unasema alie iba, je walioiba wako wapi? hivi lini mtu atakuwa mzalendo, yaani wewe kwa sababu unafaidi huo mfumo mbovu unadhani na wengine wapo hivyo!
  3. M

    Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    Yaani wewe kwa akili yako unaona Kuna Rais hapo?
  4. M

    TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    R. I. P Kamanda mungu kakupenda zaidi
  5. M

    Swali kwa vituo vya Television nchini

    Mchochezi mkubwa, una hatari sana wewe be care full na mwisho wa mnafiki ni aibu
  6. M

    UKAWA tayari mmeingia kwenye ngome ya adui. Nyamazeni kimya!

    nena kamanda! watanzania walidanganywa sana ila sasa hivi hamna
  7. M

    Mzee Mwanakijiji utakonda sana si kwa sababu una presha ama kisukari bali chuki yako dhidi ya Lowass

    ukiona hivyo huyo siyo ni gugu,hakuna mtu mwenye akili zake hawezi kumkandia mkewe kwa watu angali wapo pamoja kisa kafanya kosa
  8. M

    Ogopa Taifa ambalo watu wake hawajaelimika

    ndiyo maana 5000 kwishine
  9. M

    Dr. Magufuli, hupati kura yangu Oktoba 25

    Mgombea wetu anapapara sana sijui kwa nini lakini ila washauri wake ndiyo wabaya,kura atapata ila atashinda kwa karibu sana na huenda zikafungana
  10. M

    Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

    Hao mafisadi wapo wangapi?hivi kati ya upande huu na huu mwingine wapi kunamafisadi wengi?
  11. M

    LOWASSA karibu CHADEMA!

    Sijui kitakachotokea ila aje tupate wabunge wengi tutawale bunge tuachane na kina bb kiroboto
  12. M

    Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Pinda kwa uroho wa uraisi, atatuletea matatizo nchi hii, anataka fever ya waislam lkn atambue hii dhambi itamtafuna
  13. M

    Je, Masheikh wa Bagamoyo wametumwa na Jakaya kumuomba Lowassa agombee Urais?

    Mimi simo hata kidogo,yaani wamejipanga wenyewe tu bila msaada wowote wa nauli na malazi!
  14. M

    Lengo la waziri wa JK kubadili dini ni nini?

    Nani alisema Membe ni mkiristo?
  15. M

    Serikali kuu imewaagiza askari wa usalama barabarani wale RUSHWA mikoani?

    Sijui nani atatua hili tatizo la trafic kulazimisha fine na kupokea rushwa ya kulazimisha sijui ni nani atawasaidia watanzania kwa hili,mfano nipo tbr hapa trafic alinikamata akasema motor vehicle imeisha nikamwambia nimeshalipia nasubiri stiker tu,alikataa nikampa number ya tra ya kuangalia...
  16. M

    Hamad: Kwanini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    huyu alisha nunuliwa siku nyingi! anaongelea zanzibar je tanganyika iko wapi?
  17. M

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    wewe kweli bure ya ghali,yaani mtu hana adabu anampiga mtu mzima leo anakuwa dc,nahapa nashauri cdm kujipanga vyema mwaka maana baadhi ya nondo ndiyo hizi
  18. M

    Maoni na uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo kuhusu Sera mpya ya Elimu nchini

    Tatizo letu tumetanguliza siasa kwa kila jambo hata jambo la msingi kama hili
Back
Top Bottom