Search results

  1. CCM original

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    mara hii tu umejisahau, tena unamtukana mtu usiyemfahamu. Halafu hapo hapo unatetea usichojua. Ha ha ha ha.
  2. CCM original

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    aliyeko sahihi kwa kila jambo ni mungu tu, hakuna mwanadamu mkamilifu,
  3. CCM original

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Mimi ni mwajiri wa Dr. John Pombe Magufuli, nimemwajiri kunitumikia, alete maendeleo kwangu na kwa taifa zima. Nitakuza kichaa endapo nitaacha kumshauri, kumsema na hata kumkosoa pale anapokosea. Ni ajabu mtu nimemwajiri halafu nisimseme, kumkosoa na kumshauri. Naona kwa sasa umezuka mchezo wa...
  4. CCM original

    Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

    Ah! Kumbe! Safi sana, bora iwe hivyo, dadeki, tufe tuwe sawa. Hawa mbuzi wanaturingishia maghorofa yao.
  5. CCM original

    Maalimu Seif umejiondoa mwenyewe kwenye siasa, kaa kimya basi

    we unadhani chama kinachoongozwa na mtu aliyefeli shule si anaongoza wajinga wenzake?
  6. CCM original

    Maalimu Seif umejiondoa mwenyewe kwenye siasa, kaa kimya basi

    umewah kuona kaka anamwogopa dada ake? Wanaume wameshnda uchaguzi.
  7. CCM original

    Maalimu Seif umejiondoa mwenyewe kwenye siasa, kaa kimya basi

    Ulipiga vibaya hesabu za MAGAZIJUTO, sasa unajua kosa lako. Ulidhani wazungu watakutetea, hapana. Umelamba "pyola". Huwezi ongoza na nakuhakikishia kwa umri wako ulivyokimbia, hakika umejifuta mwenyewe kwenye siasa. Pole sana my brother, rudi Pemba ukalime mwani na ukale urojo sio kuishi...
  8. CCM original

    Nitumie Vocha baby

    Kali ya mwaka
  9. CCM original

    Yanayojiri toka Dodoma, Kikao cha CC

    ulijuaje? Nawe mganga wa kuagua/kupiga ramli?
  10. CCM original

    Yanayojiri toka Dodoma, Kikao cha CC

    acha kuwa zuzu bwana mdogo, umewahi kuwepo wakati kikao cha kamati kuu kikiendelea!?
  11. CCM original

    Yanayojiri toka Dodoma, Kikao cha CC

    Habari za siku tele wanajamvi. Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais. Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za...
  12. CCM original

    Sms niliyo forwadiwa kimakosa ya valentine day

    washeni moto tu hapa, tutakimbiana.
  13. CCM original

    CHADEMA ni kiwewe, husda au kutojua?

    lowasa kumleta balali? ni uzushi tu huo hakutamka maneno kama hayo.
  14. CCM original

    CHADEMA ni kiwewe, husda au kutojua?

    Nimeshangazwa na kitendo cha baadhi ya wanachama wa CHADEMA kufurahia na kushangilia kuhojiwa kwa baadhi ya wanachama wa CCM na kamati ya maadili ya chama. kuna watani wangu wa kisiasa hapa mtaani ambao ni wanachama wa CHADEMA wakawa wananiambia kuwa "safari hii mtagawanyika kama karata"...
  15. CCM original

    Godbless Lema kutikisa Mbeya Vijijini

    mkombozi gani? Hao wa kunyofoa watu kucha?
  16. CCM original

    Godbless Lema kutikisa Mbeya Vijijini

    mh! Ndio muwaonee huruma Watanzania mnaowaua na kuwang'oa kucha.
  17. CCM original

    M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

    si wauaji wenzao wataacha kushabikia kwa akili yao ya ganzi?
  18. CCM original

    CHADEMA kutikisa mji wa Mpwapwa siku ya tarehe 20 Julai 2013

    Kazi mnayo kweli. Mkabomoe nini kwenye chama chetu ninyi wauaji?
Back
Top Bottom