Search results

  1. maulaga

    Ushindi wa CUF Mtwara hauhusiki na UKAWA, ni ushindi wetu kwa nguvu yetu

    Tatizo lako umejaza chuki moyoni na hivyo kukosa busara! kama wana Mtwara wangekuwa na chuki kama zako basi wasingempokea Lowassa kwa kishondo alipokuja Mtwara kwenye kampeni na wala wasingempigia kura nyingi Lowassa kumzidi Magufuli.
  2. maulaga

    Majina ya Kamati ya Uandishi ya Katiba iliyoteuliwa kuandika Katiba itakayokabidhiwa kwa Sitta leo

    Kwani serikali ya Zanzibar CUF wapo humo kama nani??
  3. maulaga

    Hamisi Kigwangalla: The Story!

    He doesn't deserve...
  4. maulaga

    Mzee Farijala:"Ngoja sasa wawaonyeshe kazi waliyosomea"

    Kwani pale makao makuu ya polisi kulikuwa na maandamano?
  5. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    You are good for nothing! please distance yourself from this discussion as it is above your little brain.
  6. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    I am not ready to share any of you nasty and stupid stories about you hopeless life. After all, you are among the hoodlums who loiter in American streets pretending to have achieved economically while not.
  7. maulaga

    Slaa na Lissu hatimaye wameonekana tena!

    Wewe ni mtoto hivyo hujahesabiwa, Jk na wachumia tumbo walioko Dodoma hawamo kwenye hesabu. Watanzania wote wapo milioni 40.
  8. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Si bora ungeandika kiswahili tu! maana hii lugha inakuletea shida tu pamoja na kujidai usomi wa vyeti bila taaluma!
  9. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Lazima unamatatizo makubwa ya akili wewe mtoto! kwanini usimshauri mama yako mzazi ambaye anafanya umalaya katika umri mkubwa ili ajikimu na maisha wakati wewe mtoto wake upo hapa mtatandaoni ukijinasibu kuwa na maisha mazuri? Yakupasa umshukuru Kikwete kuunda mtandao ambao ulikubeba la si hivyo...
  10. maulaga

    Wizi wa 200b za Esrow wampeleka rais USA kurudisha ripoti

    Kwani Averoe ni jina la mzazi wako?
  11. maulaga

    John Shibuda: CHADEMA ni gunia tupu, Kasulumbai amjibu asema Shibuda ni chizi

    CHADEMA ni kama garimoshi (treni) ya kwenda Mwanza na Kigoma, kila kituo abiria hupanda na kushuka!
  12. maulaga

    Wizi wa 200b za Esrow wampeleka rais USA kurudisha ripoti

    Kama unamsema Yericko Nyerere basi huijui historia yake na inaonesha unachuki binafsi dhidi yake, Jina la Nyerere hakujipa yeye bali ni jina alilolitumia Msambila mwenyewe. Hivi jina hilo kwanini linakurusha roho? mbona kuna watu kibao wanatumia majina ya Samora, Nkurumah, Kaunda, Kambona... na...
  13. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Maskini akiokota ------ hulia mbwata! pole sana.
  14. maulaga

    Kwa uongozi huu wa CHADEMA, CCM chini ya Kinana njia nyeupe 2015

    Dola ya Urumi (Roman Empire) ilikuwa na watu wenye fikra kama zako! Je, bado ipo?
  15. maulaga

    Kwa uongozi huu wa CHADEMA, CCM chini ya Kinana njia nyeupe 2015

    Unaelewa maana ya hilo neno "milele" ?
  16. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Chama, unamajivuno na kibri kupita kiasi! hawa unaojadiliana nao hapa huwafahamu kwa kuwaona! iweje uwashambulie hivyo? Unajikweza bila sababu ya msingi! Kwa majivuno haya inaonesha jinsi gani ulivyo mtupu kichwani kwako. Hata elimu unayojinasibu nayo inaelekea ni elimu iliyo kwenye vyeti na sio...
  17. maulaga

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Taabu ya watu wnaofaidi matunda ya CCM ni kuamini kuwa wao pekee ndio wenye akili kuliko watu wengine!
  18. maulaga

    Kinana, sayansi ya siasa na uhuisho wa CCM

    Kijijini kwangu tulichangishwa pesa na nguvu zetu kujenga zahanati ya kata, tukaahidiwa waganga/wauguzi na dawa, lakini mwaka wa kumi huu hakuna cha mganga wala dawa. jengo lenyewe limekuwa makazi ya popo na mapanya. Leo anakuja MwanaDiwani na ngonjera zilezile za shetani... Oh! Kinana kanywa...
Back
Top Bottom