Search results

  1. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    ooh sio pesa ya booom nina blog ambayo inaniingiziaa pesa kila mweziii mkuu
  2. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari wakuu, nimejikusanya toka mwaka juzi sasa nina mpango wa kufanya biashara ambayo haitaathiri masomo yangu. Karibuni
  3. M

    Nauza group FB lina memba zaidi ya 10,000

    Kaa nalo mwenyewee wakat magroup tunajoin bureee
  4. M

    gmail account imekuwa disabled ndani ina adsense msaada wakuu

    Adsense accnt sina shdaa naZoo nnazonyng tu tatzo kuna mpunga wng ndan
  5. M

    gmail account imekuwa disabled ndani ina adsense msaada wakuu

    Mwnye kujuaa jinsi gani naweza kuirudishaa anisaidieee maanaa nme apeal naonaa chengaaa tuuu...
  6. M

    Sina hamu ya kula, nikiamka asubuhi nasikia kichefu chefu

    jamani nahitaji msaada its seriuz issue kama huna cha kuchangia ni bora ukapita tu
  7. M

    Sina hamu ya kula, nikiamka asubuhi nasikia kichefu chefu

    Msaada wakuuu nifanyeje hospital nimepima hamna kitu
  8. M

    Ofa: Nakutengenezea google adsense ads kwa sh 40,000 tu

    Mwenye shida na adsense ani pm"""earn money with adsense while ur ar young
  9. M

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    Habar wakuu nina tatizo lingne kweny sony experia z yang...tatizo moja haitaki ku install whtsap yan ina loaad wee mpka bas nfanyaje wakuuu..
  10. M

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    asante sana mkuu imkubali kusoma 3g....
  11. M

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    habari wakuu nmenuua juzi sony experia z..tatizo lake inasoma 2G haipandi zaidi yaapo wakati specification zake ni 4g,,,location ipo nzur coz simu niliokuwa natumia ni ya kawaida (b-elite) ilikwa isoma 3G karibia mda wote
  12. M

    Namna ya kumtia hatiani mtu aliyevunja sheria za mitandao especially blogger

    habari wana jf niulize kitu mfano nipo unterior let say huku kigoma na nme kyuka hizi sheria bahati mbaya watanikamata vipi .?
  13. M

    Sheria ya makosa ya mitandao 2015 kwa mabloger wenzangu

    Habari wana JF, Niulize kitu: Mfano nipo mikoani let's say huku Kigoma na nimekiuka hizi sheria bahati mbaya; watanikamata vipi?
  14. M

    Msaada: Google adsence zimegoma kudisplay kwenye website yangu

    unatumia templete gani free or premiam
  15. M

    Picha: Napata dola 100+ kwa siku kupitia google adsense, nipo Mbeya

    Sio ukinipigia simu lazma ununue kuna vitu we can share sio kila kitu najua
Back
Top Bottom