Search results

  1. N

    Msukuma: Rais Magufuli apige marufuku mikutano ya vyama vya siasa hadi 2019

    Darasa la saba huyo hawezi akafanya analysis.
  2. N

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Naziona takataka mwanza jiji barabara ya pamba zimewekwa pembeni bado hazijazolewa kupelekwa kwenye collection point!
  3. N

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Utoaji wa elimu ni huduma. Walishaambiwa wanapopandisha ada wawe nakibali cha kamishina wa elimu, lakini hawafanyi hivyo! na ada zao hazilingani kila mwenye shule akijisikia anapandisha ada! lazima mpewe ada elekezi mlizidi mno!
  4. N

    Ahadi ya Elimu bure kuanzia Primary hadi University, Je HESLB ifutwe?

    Mbona Gadafi aliweza hata Nyelele aliweza, ni uamzi tu pesa ipo huliwa na mafisadi.
  5. N

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Kenya walimweka uhuru kenyata na alikuwa mtuhumiwa wa icc ugopa mabadiliko huwa hayazuiliwi baba! Haijalishi uwe msomi.
  6. N

    Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Uhuru Kinyatta alikuwa na kesi ICC Wakenya walimpa Uraisi (Lowasa kama ni fisadi tunampa kura zetu tunahitaji mabadiliko)
  7. N

    Takwimu zinavyoikaanga CCM uchaguzi 2015

    Kazi ipo ccm wajiandae kuondoka.
  8. N

    Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

    Mafisadi asiliya yao ni chama gani? ukawa hawapo ndugu yangu, wameshasafishwa.
  9. N

    Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

    Yangu macho, msema kweli mpenzi wa Mungu.
  10. N

    Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Mungu akubariki kwa kuwa mkweli bro.
  11. N

    Ukomavu mkubwa wa kisiasa CHADEMA

    Wanasema CCM tunapokwenda kwenye mikutano ya ukawa tumepema hela! huo ni uongo.
  12. N

    Tetesi Nyumba imeungua Geita.

    Nasikia kuna nyumba imeungua Geita mtaa wa Nyankumbu usiku wa leo na watoto 3 kufia kwenye nyumba na mmoja kafia baada ya kufika hospitalini! Mlioko Geita tupeni taarifa.
  13. N

    Wazo la kuwa na maktaba Geita nani kaliua?

    Hilo ni gumu ndugu yangu. Hizo zilikuwa mbwebwe zenu kuona kusoma kwenu kuna mawazo mapya! Mngetumia waheshimiwa madiwani mngefaulu. Isitoshe Tanzania moyo wa kujisomea umeisha. Hata wachangiaji wa mada hii hawapo.
  14. N

    Kukatika kwa umeme

    Kwetu Mwanza (Buhongwa) umeme ulikatika saa 7mchana ukarudi saa2 usiku. Ukakatika tena saa2:30 haujarudi tena mpaka sasa. Inakera sana na katizo la umeme halikutangazwa!
  15. N

    CCM Yakubali yaishe, Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa

    Jamaa hawana aibu! Wajumbe wamekula posho then waahirishe Bunge la katiba.
  16. N

    Hili ndilo gari ghali sana duniani

    Wabongo tuna matatizo!
  17. N

    Mabadiliko ya tofauti ya masaa kati ya nchi moja na nyingine ndani ya mwaka mmoja

    Geography inaelezea kuwa mistari ya longtude hutumika kupata saa . Saa moja dunia hujizungusha nyuzi 30. Kuna kanda za kuchukulia masaa. Muda huwa haubadiliki katika tofauti ya masaa. Kama mnatofautiana saa 1 itaendelea kuwa hivyo.
Back
Top Bottom