Search results

  1. B

    P-Funk naye aishukia Clouds FM

    Pumbavuuu nyama ya mbavuuuu we!!kubwa zima jinga,utapakatwa
  2. B

    Hivi kumchapa mtu mzma ni sawa?

    Wakome wakome wakome
  3. B

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Lipumba hana mke na mkijidai kubisha nafunguka zaidi,Alaaa!! naombeni mnaoshadadia lipumba anamke mkae kimya kabisa.acheni kuleta utani na watu wenyendoa zetu.ndoa si kazi ya kupepeta mdomo,ndoa si shahada ya uchumi.Alaaa!!jaribuni tena kujifanya mnajua kutetea(wakati hata jogoo awiki)jamani...
  4. B

    Naomba Mwongozo namna ya kuchinja Nyati (mnyama wa porini) ili awe HALAL

    Wakati mwingine tunakula mizoga niushaidi gani utakuonyesha nimzoga au simzoga.tena waislamu watabora wanapenda sana nyama pori.
  5. B

    rushwa ya tawala upangaji upya wa matokeo ya Form4

    Ndugu zangu kunavitu vingine unaitaji kujiongeza mwenyewe.najipenda na ninaipenda familia yangu usalama ni mdogo sana katika hii nchi.lakini sisababu yakutoanika maovu yao iliwajue wananchi tumechoka. Wakunielewa anielewe wakubisha abishe.
  6. B

    rushwa ya tawala upangaji upya wa matokeo ya Form4

    Upangaji upya wa matokeo ya form4 imewatengenezea watu pesa,vigogo wametoa pesa ili watoto wao wapangiwe madaraja ya juu,vimemo vya tawala katika upangaji kutoka kwa baadhi ya viongozi wa serikali wakishindikiza watoto wa ndugu zao na marafiki zao wasaidiwe.jamani inaumiza sana. Nimeamini kila...
  7. B

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Ohoo! solly my teacher. According to my statement the word leality is not correct, and you seems to be a good teacher. How you can teach someone without earning any thing from him is very amazing. In hundred people you can get one person like you. Good lucky my teacher.Tchao
  8. B

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Thank you my blother god bress you
  9. B

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Always you can not change the reality.i believe you got my point .that is why,you were able to collect my mistakes.Thanks for collection.
  10. B

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Unajua kila kitu kilichopangwa na mwenyezi mungu kinadhawabu kubwa sana.Ndani ya vitabu vyote vya dini zote mbili neno ndoa ni muhimu sana iwe kwa mwananke au mwanaume,pale hunapokwepa kwa makusudi kutekeleza jukumu ili jua kunamapungufu au usumbufu utakutana nao katika maisha yako.kwa sisi...
  11. B

    Watanzania tunafananisha siasa kama upinzani katika timu zetu za mpira wa miguu

    Mimi nashindwa kupata jibu asilimia kubwa ya watanzania wamegeuza vyama vya siasa kama ushabiki wa timu za mpira wa miguu,wengi tunashabikia chama bila kujua faida na hasara ya chama unachokishabikia.jamani siasa siburudani kama ulivyompira wa miguu siasa imebeba roho na rasilimali za nchi,siyo...
  12. B

    kazi gani inalipazaidi;kuwa mchungaji au mwanasiasa

    Naombeni kuuliza ndugu zangu kabla nimejitaidi kufanya kazi mbalimbali na hata biashara mbalimbali ila ulipaji wake umekuwa mdogo na wajashokubwa,ila nimefatilia hizi kazi mbili naona zinaweza kunilipa,ukizingatia hakuna cha kulipa mapato au kuwekeza mtaji,mtaji ni mdomo wako tu.ukijua kupepeta...
  13. B

    serikali hii hotuba ya limumba hamjaipata

    serikali mkıkaa kımya nı wazı Lipumba ametumwa na ccm,ıtakuwa ni moja ya mbınu zenu kuwagawa watanzania sababu tu ya 2015.lakıni kumbukenı hakuna vıta mbaya kama vıta ya udıdı sıjua mtasema nını kwa mungu,haya maısha...
  14. B

    serikali hii hotuba ya limumba hamjaipata

    Serikali hii hotuba ya lipumba inamalengo gani kwa taifa letu,siamini kabisa kama serikali mtalikalia kimya swala ili, watu wanapamba na kutokomeza udini yeye anazidisha udini.serikali sijui kama kunahaja yakuunda tume kuchunguza mpasuko wa udini kwani tunaushaidi tosha wa bwana lupumba.sasa...
  15. B

    Jamani pombe mbaya

    Hii ni dalili tosha kuwa pombe haina anabu.
  16. B

    Ngumi zachapwa live

    jamani tutokapo nyumbani tuakıkıshe tuko kamili katika kila kitu sababu chochote chaweza kutokea sasa ebu angalia huyo dada aliyokochini tuseme alisahau kuvaa chupi.
  17. B

    Ahadi hewa za MH Rage kipindi cha kampeni Tabora 2010 (kukarabati uwanja wa mpira)

    Rage,napenda kukumbusha ahadi yako yakukarabati uwanja wetu wa mpira hapa mkoani tabora, ulitueleza 2010 tukıkuchagua utakarabati uwanja wetu wa mpira,napata hofu kulingana na muda naona kama muda unazıdı kuyoyoma hakuna hata dalili zozote za kukarabati uwanja huu.au zilikuwa...
Back
Top Bottom