Search results

  1. Lameck Dunia

    Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Yaani kitaa ajira hamna alafu niache kazi ccm bana we unaongea pumba kwa sababu watoto wako ushavuna hela za tz ya vibanda unawalisha yaani ni natamani hata kwenda kujiunga na jeshi la Somalia au congo maana hili la kwenu mnawekaga watoto wenu kwakuwa mnajua hakunaga vita bongolala apa.
  2. Lameck Dunia

    CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Tozoooo CCM hoyeeeeee
  3. Lameck Dunia

    mbona mafinga mnazingua wilaya yenye mapato mengi hivi pachafu hivi

    ndg zanguni wana jf naomba mnisaidie kushare maana wilaya yng ina mapato sana lakini mtu akifika mafinga mjini ni pachafu jamani daah hadi kero. Nataka niulize kwa ndg zanguni wa mafinga mjini hivi hakuna uongozi? chakushangaza kuna watu wanapita mtaani wanachangisha eti kwa ajili ya kuchangia...
  4. Lameck Dunia

    Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    kwahiyo tuendelee kuibiwa tu some time tusikae tu na kuanza kupinga hata ukweli jamaa yukoi sahh kabisa bushi co mungu km unamuogopa unamuogopa ww na ndgzako...
  5. Lameck Dunia

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    fisimaji bwana mnazinguaga sana GWAJIMA JEMBE LA UKWELI tunataka vyeti
  6. Lameck Dunia

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    mmmmmh picha linakaribia kuisha kweli nchi ya ajabu sana hii
  7. Lameck Dunia

    Umoja wa Mataifa wajitosa sakata la Ben Saanane

    Achene siasa ktk roho za watu
  8. Lameck Dunia

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    we boya eti kaza acha kukata tamaa mtoto
  9. Lameck Dunia

    Idara ya Uhamiaji iache kutumika kisiasa kwenye suala la Manji

    wacha waisome number waliipenda wenyewe ccm mbele kwa mbele
  10. Lameck Dunia

    Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    mmemsahau kipagati wa iringa huko
  11. Lameck Dunia

    Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    gadafi alikuwa hatareeeeeeeee huyo nyokaaa huko kwenu kwetu mby city hatumjui
  12. Lameck Dunia

    Lissu juu ya kauli ya Rais kwenye sherehe za Siku ya Sheria

    wazee wa kutegemea mteremko mbna ndo zenu mkiambiwa ukweli mnamaindi tumekusoma kaka lissu hapa ndo naamini haki mbinguni hata uwe mkubwa vipi Duniani mbinguni km ulikosea ni hukumu tu
  13. Lameck Dunia

    Cybercrime: Aliyesambaza ujumbe wa 'Mpango wa kumuua Lema' afikishwa Mahakamani

    nchi ya vibanda ndo nchi gani tena mbna mi siijui?
  14. Lameck Dunia

    Kijiografia Mtera ipo Iringa

    kuna vingi vya kujadili ila xo hilo kaka badilisha mada
  15. Lameck Dunia

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BET KWENYE MTANDAO NDO MPANGO MZIMA
Back
Top Bottom