Search results

  1. B

    Usafiri wa Kwenda Iringa, Mafinga au Makambako

    Nina safari ya kwenda Makambako Njombe,siku Ya kesho tarehe 23.12.2015 ila mabasi yote ya huko yamejaa. Kwa yeyote mwenye usafiri na anaelekea njia hiyo msaada tafadhari. tupo watu wawili Tunatokea Dar kwenda Njombe. Tupo wawili mie na wife tuna begi moja
  2. B

    Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    Waziri wa Elimu akiwa Tabora katangaza kuwa kuanzia mwaka wa masomo 2014/2015 hakutakuwa na ngazi ya cheti daraja la Tatu A ualimu badala yake ni diploma tu.Je vyuo vya binafsi ambavyo tayari vina wanafunzi wa Grade A tayari itakuaje? Nina mdogo angu yupo chuo cha Ualimu Ebonite Kimara...
  3. B

    How to handle an ear

    Jamani wanajukwaa naombeni msaada wenu,wakati nasafisha sikio kwa kutumia zile pamba za masikio,bahati mbaya kile kipamba cha mbele kimechomoka na kubaki kwenye sikio,ishu inakuja kwenye kukitoa.Je ile pamba yaweza kkuwa na madhara makubwa kwa sikio?
  4. B

    Chumba chumba sinza c near the law school of tz

    Jamani natafuta chumba cha kupanga SINZA C karibu na The law school of Tanzania kodi isizidi laki moja kwa mwezi na nataka ya miezi sita
  5. B

    Anayezijua shule hizi tafadhali! Kibugumo sec na makurumla sec

    Kama kuna mtu anayejua mahali shule hizi zilipo anielekeze 1.KIBUGUMO SECONDARY-Inapatikana TEMEKE 2.MAKURUMLA SECONDARY-Inapatikana KINONDONI Naomba nijulishwe exactly location yake zilipo na nikitokea Ubungo naweza fika namna gani. Ninajua tu kuwa moja ipo Temeke na Nyingine halmashauri ya...
Back
Top Bottom