Search results

  1. B

    Usafiri wa Kwenda Iringa, Mafinga au Makambako

    Bahati nzuri Mungu alikuwa Upande wangu.
  2. B

    Usafiri wa Kwenda Iringa, Mafinga au Makambako

    Nafanya hivo mkuu hapa naona hamna jinsi inabidi iwe hivyo Kwa alfajiri hii naenda kutega Ubungo nione kama nitabahatisha
  3. B

    Usafiri wa Kwenda Iringa, Mafinga au Makambako

    Natokea Dar wakuu, sorry kwa kuruka hiyo taarifa
  4. B

    Mikopo ya BAYPORT

    Humalizi wiki umeshapata pesa labda utachelewa kufanya process kwa mwajiri wako maana ana sehemu yake ya kusaini
  5. B

    Mikopo ya BAYPORT

    NMB wanahitaji salary slips copy zilizothibitishwa na mwajiri wako na zile sehemu za kusaini mwajiri basi unapata mkopo kiroho safi
  6. B

    Mikopo ya BAYPORT

    Kwa miaka mitatu atalipa zaidi ya hiyo huenda ikafika m15.
  7. B

    Mikopo ya BAYPORT

    Utakatwa mpaka uone dunia yote inakuchukia
  8. B

    Usafiri wa Kwenda Iringa, Mafinga au Makambako

    Nina safari ya kwenda Makambako Njombe,siku Ya kesho tarehe 23.12.2015 ila mabasi yote ya huko yamejaa. Kwa yeyote mwenye usafiri na anaelekea njia hiyo msaada tafadhari. tupo watu wawili Tunatokea Dar kwenda Njombe. Tupo wawili mie na wife tuna begi moja
  9. B

    Rais Kikwete aenda Uswisi

    Safari ya JK USWISI ina mengi,huenda ukawa ndo mwisho wa Timu Abdala,,sijui timu Asha,wenye vijisenti huko wakaangalie kama account zao bado Active
  10. B

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    CUF wasijidanganye na ZANZIBAR endapo UKAWA utavunjikA SEIF asahau kuingia IKULU na huenda wakapoteza majimbo mengi,then kwa Bara pia CCM Itaburuza kama kawaida ila kwa UBUNGE CDM watapata viti vingi zaidi tena vingi mno,bado CDM wataendelea kuwa Kambi kuu ya Upinzani
  11. B

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Kwa mfano kwenye miji.huku kama wanaume watagoma au wataacha kabisa habari za kuhonga wadada wengi maisha ya mjini watayaona machungu
  12. B

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Kutengeneza urafiki na mwanamke ni kuongeza shida aiseeee
  13. B

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Hivi ina maana wanawake huwa hawasikii raha yeyote katika tendo la kugegedana?
  14. B

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Mi huwa nawashangaa watu wanaombeza Mnyika kuwa hana digrii.Mnyika ni kweli.hajagraduate lkn kile kichwa kinakosa tu ushahidi wa cheti lkn kichwani ni zaidi ya hao waliograduate
  15. B

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Hamjamuelewa Lissu,kuhusu pornograph kasema kwa jinsi sheria ilivyo hakuna mtu atakayekamatwa na kosa na wasitegemee kumfunga mtu kwa vile pornography chafu hazijawa defined.Nyie mnaongea nadharia Lissu yupo kwenye uhalisia.Kwa upande wangu naona Lissu ndo alikuwa mwenye nia njema.Ila kwa Vile...
  16. B

    Saada Mkuya akiri hakuna kodi wanapokea Kariakoo

    Hivi kinachogomewa ni kodi au ughari wa Mashine?
  17. B

    Elections 2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Kwa sasa hivi CCM yeyote atakayepigwa chini asitegemee kufurukuta kwa namna yeyote ile
  18. B

    Mzee Yussuf awataka wasanii kuipa kula ya ndio katiba pendekezwa

    Upigaji kura wenyewe haujulikani ni lini,eti katiba itapita kwa nguvu zote na wala sio kwa hoja nchi ya kidikteta hii.Upuuzi mtupu
Back
Top Bottom