Naomba kufahamishwa, Je ubora, ufaninisi na uwezo wa tablets za techno ukoje? (samsung yangu imechukuliwa na mtu, na sina pesa ya kununua nyingine wiki hii, ndo maana nataka nijishikize na techo) bei zikoje ?
Wakubwa naomba msaada . nimedownload ENCARTA PREMIUM 2009 ya DJ Alex Larieta. Baaba ya kumaliza imeniomba key ili ifunguke. Key sina tafadhali naomba msaada.
mkongwe wa soka na kaptaini wa zamani wa taifa stars kwa zaidi za miaka 10 kwenye miaka ya1980. kuna kipindi alikuwa anaumwa,na TFF na wapendamichezo na taifa kwa ujumla tulimtelekeza. je kwa sasa anaendeleaje? na kama kuna mtu anataka kumpa msaada utamfikiaje?
Jamani mnaotafuta kazi, jifunze namna ya kuandaa nyaraka zaNU na fikiria mara mbili mbili kabla ujakabiDHI nyaraka zako. Ofsi yetu inashughulika na "private investigation" kulingana na mahitaji ya mteja. Graduate kaja kuomba kazi barua yake bora ata mwanafunzi wa form 2. kibaya zaidi kaweka...
kuna umuhimu wa kuendelea kushiriki mashindano ya kimataifa au tukae nje miaka 3 au minne tujipange na tubadili na mifumo yetu ya uendeshaji wa soka hapa nchini DANGANYIKA
Hali ya kiafya nakifedha aliyonayo jella mtagwa captain wa timu ya taifa kwa miaka zaidi 10. Na alikuwemo kwenye kikosi cha timu ya taifa kilichoshiriki fainali za mataifa huru ya africa mwaka 1980.
kwa sababu ya mpira sasa anaumwa ,hoi bin taaban. Hana pesa wala msaada wowote. si kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.