Search results

  1. CODE501

    Msaada: Laptop aina ya Acer ina tatizo kwenye touchpad

    Habari za wakati huu wakuu,,, Nina laptop yangu aina ya Acer inatatizo la internal mouse (touch pad) hairespond. Hivyo nalazimika kutumia usb mouse..naomba msaada wenu jinsi ya kurekebisha hili.
  2. CODE501

    Wapi nitapata biriani maeneo ya Temeke

    Habarini wanajukwaa, Nahitaji biriani iliyoandaliwa vizuri maeneo ya temeke mwenye kujua tafadhari anijuze.
  3. CODE501

    Bar maarufu ya Kisuma (Sugar Ray) yafungwa

    Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafahamu sana mahala hapo. Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma night club, hii leo imefungwa rasmi kwa takribani miezi 4 kupisha ukarabati na kuirudisha kwa mmiliki...
  4. CODE501

    Naomba msaada tatizo la WiFi kwenye Samsung galaxy s5

    Wakuu, simu yangu(Samsung galaxy S5) inatatizo la kushindwa kuconnect wireless inaandika ''avoided poor internet connection'' mwenye ufaham na hili msaada tafadhari.
Back
Top Bottom