Search results

  1. Mnyepe Boy

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Hakuna point ! Kama kweli unasoma udsm , ungejua sababu kwanini wengi wao wanasahau , we ni hater tu wa udsm ....utaumia sana..
  2. Mnyepe Boy

    Utata kuhusu Hurbert Kairuki University

    Acha miyeyusho .......uko kileji nn
  3. Mnyepe Boy

    Mwenye uelewa kuhusu CoNAS UDSM

    Sua ndo inafuata baada ya udsm, usichanganye Mambo
  4. Mnyepe Boy

    Selection za chuo kwa first round zitachukua muda gani kutoka?

    Msiwe na wasiwasi coz haiwezi kuzidi mwezi huu wa tisa :)
  5. Mnyepe Boy

    UDSM kuleta swala 50 kwenye kampasi yake ya Mlimani

    Hujui kutofautisha tumbili na ngendele,
  6. Mnyepe Boy

    Kuendelea na masomo 2016/17

    Unaruhusiwa kuendelea coz ww ulidahiliwa apo awali, uko ndani ya system already .....relax
  7. Mnyepe Boy

    TCU guide book 2014/2015 vs Ndalichako

    Kama unakidhi vigezo kutokana na guide book ya mwaka wako ulio apply , basi your safe ..... We uko salama , guide book ya mwaka huu haikuhusu coz teyari upo kwenye system ...labda ungekuwa una apply mwaka huu apo ndio tungekutafutia mbali aisee...
  8. Mnyepe Boy

    Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

    uko sawa kabisa , uyo anatuchora tu coz hakuna ukweli wowote kwa post yake
  9. Mnyepe Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wen unamasiara nn , iyo m1 wakila c utajilaumu mwaka mzima
  10. Mnyepe Boy

    Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    mkuu hii ni mwaka huu aisee ..c mwaka jana ilikuwa raha 2 , unaingiza jina na namba kwenyw link mambo yanakuja
  11. Mnyepe Boy

    Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

    hiyo hata mm nilikuwepo, enzi za GOTA
  12. Mnyepe Boy

    Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

    madogo mna haribu xkuli iyo
  13. Mnyepe Boy

    Kubebana ni kitu gani?

    sawa, lakini sio vizuri kumuacha mwanafunz mwenzio alale kwny meza, kisa mtu kaamua ataki kubeba, huwa nawa chukulia wabinafsi wasiotaka kubeba wenzao!
  14. Mnyepe Boy

    Kubebana ni kitu gani?

    ww pale utake usitake utabeba tu, ndo udsm iyo
  15. Mnyepe Boy

    Nimechaguliwa ila kozi siitaki

    pale hawata kuzimgua cha msingi, wahi chuo ukimaliza usajili andika barua ya maomb ya kuhama, ni mchakato kidogo but ucjari bro
  16. Mnyepe Boy

    BSc in Textile Design and Technology

    duh iyo cozy wamekubandikiza nn,
Back
Top Bottom