Search results

  1. Bernard Rwebangira

    (Colon Cancer) SARATANI YA UTUMBO MPANA NI HATARI

    Mdau nashukuru sana, asante JF kwa kuwa na topic kama hizi, umeniokoa sana, ilibaki kidogo kufanyiwa upasuaji maana hali ilikuwa mbaya sana, Shake off na splina ni mkombozi wangu, sitazisahau kamwe na hazitakosa nyumbani mwangu mpaka ukamilifu wa dahali, Mungu akubariki sana.
  2. Bernard Rwebangira

    Picha:Umbumbumbu wa magazeti yetu

    Hizi ni faida na hasara za kutegemea mitandao badala ya kuwa au kutafuta watu waliopo katika tukio, ni rahisi sana na wanaokoa gharama kubwa wanapochukua picha toka mtandaoni kuliko kutuma mtu ama kutafuta mtu aliye eneo la tukio, hii ni download and paste on paper itajatugharimu sana siku moja...
  3. Bernard Rwebangira

    Picha:Umbumbumbu wa magazeti yetu

    Hizi ni faida na hasara za kutegemea mitandao badala ya kuwa au kutafuta watu waliopo katika tukio, ni rahisi sana na wanaokoa gharama kubwa wanapochukua picha toka mtandaoni kuliko kutuma mtu ama kutafuta mtu aliye eneo la tukio, hii ni download and paste on paper itajatugharimu sana siku moja...
  4. Bernard Rwebangira

    Practise some photoshop animation techniques

    Mkuu, stay blessed for this tips, Eid Mubarak.
  5. Bernard Rwebangira

    Mwekezaji 'kusaidia kujenga Mahakama ya Rufaa' siyo sawa!

    Kuna wakati uwa natamani niamke asubui nisiangalie TV, kusikiliza redio, kusoma magazeti, kuingia mtandaoni wala kuwasha simu yaani total blackout kwa huu upuuzi unaondelea hapa nchini, Masaburi labda alilijua hili mapema akaamua kusema yale, mambo mengine yanatia hasira sana mpaka mtu...
  6. Bernard Rwebangira

    Sex, love and romance

    so its like garbage in, garbage out, sio?? context or content kuna guide mahali??
  7. Bernard Rwebangira

    Sex, love and romance

    Hii kitabu ni bomba sana, its a must read, for those who wants to transform their life by changing their thinking.
  8. Bernard Rwebangira

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Kwa hiyo karejeshwa likizo ya malipo kupisha uchunguzi wa kamati teule na si kwa Rais ameona kuna kosa fulani kwa Jah Hero! hivi ishaundwa hiyo kamati ya bunge na kupewa adidu za rejea au ni kujihami tu? hili nalo ni picha jipya limeanza bongo, lets wait and see!
  9. Bernard Rwebangira

    At umebarikiwa kuwa na hisia kali za ngono! pana ukweli wowote hapa??

    Mkuu, ikiwa hivyo ndivyo basi tuna mambo mengi ambayo hatuyajui, I'm going to do some more researches on the subject.
  10. Bernard Rwebangira

    At umebarikiwa kuwa na hisia kali za ngono! pana ukweli wowote hapa??

    "Sex desire is the most powerful of human desires. When driven by this desire, men develop keenness of imagination, courage, will-power, persistence, and creative ability unknown to them at other time. Love, romance and sex are all emotions capable of driving men to heights of super...
  11. Bernard Rwebangira

    Photographers' Corner

    Nice shot.
  12. Bernard Rwebangira

    Arusha Mpooooooooooooooo

    Mkuu, naelewa sana concern yako na asilimia kubwa inatawaliwa na woga ambao sote tunao kwa wakati mmoja au mwingine katika kujaribu ama kufanya shughuri yoyote mpya maishani mwetu, mi nilikuwa kama wewe, mwaka 2007 kuna jirani yangu mmoja mama wa nyumbani na Fundi Cherehani, wale wanaoshona...
  13. Bernard Rwebangira

    Arusha Mpooooooooooooooo

    Mkuu, issue ni living forever au ni opportunity that goes with it? binafsi nina ndugu zangu ambao wako huko na sijawai ona wakiuza hizo dawa unazosema na si hivyo tu wametuacha mbali sana kimapato katika muda wa miaka miwili tu toka wajoin huko, it seem that it pays for those who take it...
  14. Bernard Rwebangira

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    iliwahi semwa hapa kuwa jeshi hili (machinga) linalokua kila uchao na kuachwa na mamlaka husika kwa sababu za kisiasa kwamba ni "time bomb" na kuwa ni wakti tu litalipuka, tatizo ni sikio la kufa... Tunisia ni machinga mmoja alilipuka, sote twajua kilichofuatia. Mungu ibariki TZ.
  15. Bernard Rwebangira

    Ansbert Ngurumo anauliza: Maamuzi magumu? Mbona tuko gizani?

    maamuzi magumu ni kwenda kuwaonyesha wabunge "sinema" ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na ushaidi badala ya kuwakamata na kuwapeleka panapostahili, wait a minute! last week kulikuwa na opereshen kamata mateja, isijekuwa ndo picha litalooneshwa! wacha tusubiri tuone.
  16. Bernard Rwebangira

    Nilichokiona Muhimbili Leo

    Too sad, pole sana kwa dada kwa yaliyokupata, wizi huu umeibuka na taratibu waota mizizi tusipoangalia tutakuwa kama sauzi mtu anapigwa ambushi mtaani mchana kweupee,
  17. Bernard Rwebangira

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Mtumishi wa kawaida anapolipwa mara 2 kwa kufanya kazi moja uwa anaitwaje?
  18. Bernard Rwebangira

    Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

    Ina maana hujui kuna Marais wangapi TZ? au hujui ni kina nani??? au hutaki kujua??
  19. Bernard Rwebangira

    Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

    Tz tuna marais watano hivi sasa je wote ni dini gani????
Back
Top Bottom