Search results

  1. ngoshaboy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi ni mkaazi wa UBUNGO RIVERSIDE tangu asubuhi hatuna umeme kwa baadhi ya nyumba, tumepiga cm tanesco lakini hawapokei cm zetu kulikoni?
  2. ngoshaboy

    Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Kwa mala nyingine tena huku makoka Johns coner numesikia kishindo kisha umeme umekata.
  3. ngoshaboy

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Ila jihadhari na matapeli wanaweza kubeba tan zote ukaishia kulima tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ngoshaboy

    Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

    Mama ako umemjulisha? Fara wewe unaendekeza majungu utakufa na pressure mwehu wewe.
  5. ngoshaboy

    Rais wa China atua Moscow kuongea na Putin

    Ni kheri tu wamlinde dogo kiduku maana marekani kazidi mno uonevu.
  6. ngoshaboy

    Baada ya utapeli wa kuponya vilema, UKIMWI na miujiza kudharaulika: what next kwa Manabii wa kiroho?

    Duh! Huogopi kushushuliwa na yule tapeli anaemwandama Makonda kila siku? maana huyo ndo kubwa la matapeli tz.
  7. ngoshaboy

    Kubana Matumizi: Baraza la Mawaziri na mlo wa "Chips Mayai"

    Msenge wewe za kwako za maana ni zipi?
  8. ngoshaboy

    Mrejesho wakuu 'kwa hili mimi nitaoa Rwanda"

    Watoto wa kimakonde wanatuharibia sifa aisee ukiondoa hao tz tulipaswa kuwa namba moja kwa kuwa na wasichana walembo.
  9. ngoshaboy

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Mshikaji bei zako ni kubwa sana tafakali kisha punguza.
  10. ngoshaboy

    Hongera kwa wana Serengeti na wana Mara kwa ujumla kwa kitoweo hiki!!

    Hongera kaka mi mwenyewe naipenda sana hiyo kitu.
  11. ngoshaboy

    Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

    Ushauli wangu ili uweze kwenda sambamba na mmeo kwa vile ana mapenzi makubwa na mama ake basi nawe huna sababu ya kuludi nyuma kuonyesha upendo uliopitiliza kwa mama mkwe tena kipindi wanaongea we unapaswa kuwa karibu zaidi nae namaanisha uwe ubavuni mwake hakika hutojuta na ndoa yako, lakini...
  12. ngoshaboy

    Iran yasafirisha chakula kuenda Taifa lililotengwa la Qatar

    Wamarekani wapumbavu hawapendi kuona taifa jingine likiwa juu kiuchumi yote hayo ni kuifanya Qatari idhoofike kiuchumi lakini hata hivyo sidhani kama hiyo inshu itafanikiwa.
  13. ngoshaboy

    Rich gang kwa Tanzania ni akina nani?

    Msihangaike kuwatafuta niko hapa Ngosha nyamihela natandika noti kitandani.
  14. ngoshaboy

    Thaqaafa high school 2003 tuonane hapa

    Habari zenu vijana wenzangu? Napenda leo tukumbushane wale tulioanza form 1 mwaka 2003 kwa jina na stream ulokuwa.
Back
Top Bottom