Search results

  1. Charles Mtekateka

    TONGBA Motorcycles

    Mawasiliano WhatsApp/call 0786011953 tunakaribisha na wanaopenda kuwa wauzaji wa pikipiki hizi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Charles Mtekateka

    TONGBA Motorcycles

    Fika dukani Samora Avenue Dar es Salaam, Jmall building kupata pikipiki Brand new kwa Bei paid, punguzo na warrant Hadi miezi 12 toka ununue. Bei inaanzia 2, 755,000 Hadi 5,300,000/= (Bei inategemeana na Aina ya pikipiki) Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Charles Mtekateka

    Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    Hamia upande wa pili upate kuongeza wenzake 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Charles Mtekateka

    Wanandoa matajiri Duniani waamua kupeana talaka baada ya miaka 25 kwenye ndoa

    Jeff kapata mchepuko Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Charles Mtekateka

    Pikipiki Bora kabisa - Tong BA

    TB 200 -14 Push to start Imelipiwa Kodi zote Bei take 4,950,000/= Mobile . 0786011953 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Charles Mtekateka

    Shoga yake Mama...

    dogo atapasuliwa marinda
  7. Charles Mtekateka

    SOLD: Nauza container nzuri za futi 40. Nipo Dar es Salaam

    zipo maeneo gani kwa hapa Dsm na je usafiri juu yako na upakiliaji /ushushaji?
  8. Charles Mtekateka

    Simulizi ya kweli: Mwanamke jini

    Asante Mjukuu wa Chifu kwa hadith yako..... heri ya mwaka mpya nawe... ukitupia nyingine nitag na mimi
  9. Charles Mtekateka

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    #BreakingNews Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene ajiuzulu. #MTANZANIA
  10. Charles Mtekateka

    Mlioko Dar baada ya Club Bilcanas kubomolewa serikali imejenga nini

    wamezungushia mabati na kuwa parking za magari...
  11. Charles Mtekateka

    Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

    Tanzania 1, Zambia 0 mfungaji Erasto Nyoni dk 14
  12. Charles Mtekateka

    Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

    BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio
  13. Charles Mtekateka

    Swedish waanza kupandikisha microchips kwa wafanyakazi wake.

    source A Swedish company has started implanting microchips under its employees' skin
  14. Charles Mtekateka

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hapa cjawaelewa.....
  15. Charles Mtekateka

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hivi jamani Isidingo ilishaandikwa ndo wanaect segment zake now au inaandikwa kila siku kuendana na maisha halisi ya SA?
  16. Charles Mtekateka

    Behind the curtain: September 11

    mkuu The Bold ukitupia nyingine nitag na mimi... nina swali kwa nini hao alqaida walichagua miji ya Dar es salaam na Nairobi? sababu hasa ni zipi?
Back
Top Bottom