Search results

  1. M

    Rais Kabila: Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu

    una uhakika gani kuwa magufuri siyo fisadi? kwa nini aliahidi kuwalinda akina JK?
  2. M

    Rais Kabila: Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu

    si ujibu hoja? au dr makomeo aliudanganya umma aliposema hawalipi kodi?
  3. M

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    demokrasia wakati watu wanakamatwa kwa neno kila.za aliloliasisi mwenyewe?
  4. M

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    kwani kumbe kuitwa kilaza ni tusi? nidhamu haiwezi kuja kwa kuzuia watu kusema!
  5. M

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    kwa hiyo kama ana elements za udikteta watu wasiseme?
  6. M

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    ha ha ha ha! malaika asisemwe kamwe!
  7. M

    Mnaomponda Rais Magufuli mnakosea sana

    na kwa nini wengi ni UKAWA? a
  8. M

    Mnaomponda Rais Magufuli mnakosea sana

    mjasiri gani anatisha na kuzuia wengine wasiongee eti asikike yeye tu! anaogopa hoja za wengine?
  9. M

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    tehe tehe tehe! kauruhusu mwenyewe!
  10. M

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    kwanini zisitoke! "kunyeni kinyesi mkapake bara bara iwe lami" ha ha ha! na bado!
  11. M

    Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    yaani wewe ndiyo lofa kabisa!
  12. M

    Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    safi sana maalim! sawa sawa! CC: REV KISOLO
  13. M

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    si mawakala wamehesabu hizo kura na wakasaini form!? nani alibaki ameyatunza baada ya kuhesabu?
Back
Top Bottom