Search results

  1. paramawe

    Niulize chochote kuhusu Wi-Fi

    Nahitaji msaada wa kuunlock router ya Huaweii inatumia chip ya smile lkn service provider ni vodacom nipo dar
  2. paramawe

    Natafuta Demu

    Mim ni kijana naishi hapa dar, nina mke na mtoto 1, natafuta dem wa kuwa nae ktk mahusiano awe dar na awe mzuri anae jipenda. tutakuwa ktk mahusiano na kumegana ni kawaida ila demu asiwe tegemezi sn. Mengine tutaongea tukijuana.
  3. paramawe

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Naomba bei ya Engine 3S complete na gear box yake
  4. paramawe

    WAPI NITAPATA VIOO VYA TV DSM

    kariakoo vipo bei ni hii kama utahitaji nikuelekeze 300,000/= bei hiyo ni ukubwa wa inch 32 zaidi ya hapo sijui bei.
  5. paramawe

    Nauza bati

    Weka namba ya sim mkuu, 0655 600 437
  6. paramawe

    Nahitaji kazi ya kompyuta

    Habari, Naomba kazi ya computer hardware popote hapa dar es salaam, nina elimu ya Degree na uzoefu wa kutosha katika kazi hii. Namba yangu hii; 0785 600 435
  7. paramawe

    Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

    Kaka nlikosea namba yangu ila nashida na hiyo gari sana kama ntaipenda namba hii nijulishe 0785 600 435
  8. paramawe

    Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

    mkuu nahitaji kuiona hii gari kama bado ipo nije, namba yangu hii 0785 600 453 ikiwezekana ata kesho Mungu akipenda.
  9. paramawe

    Naomba Kazi

    Habari! Naomba kazi kwa aliye nayo, ujuzi ni mtaalam wa computer hardware and software kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 2 sasa. Napatikana dar es salaam kwa namba hizi; 0785 600 435
  10. paramawe

    Msaada

    Naomba kujulishwa kwa anayejua hasa mliopo china na nchi zingine, Bei ya mashine au mtambo wowote wa kutengengeza ice block uwe used au mpya unaotoa hata tofali 20 za ice, tofauti na freezer za kawaida au mtu yoyote anayeweza kutengeneza mtambo huu. Napatikana hapa 0785 600 437 ahsante
  11. paramawe

    Tetesi

    Habari wakuu kwa aliye na tetesi za maxcom africa kuhusu kazi zike za mfumo wa kadi UDART atujulishe
  12. paramawe

    Msaada: Anayejua ofisi za Erolink zilipo!

    Kanuga samahani kwani huwa wanakazi zingine tofauti na customer care na mimk nipeleke CV yangu maana kibarua changu kinaisha kesho kutwa.
  13. paramawe

    Msaada: Anayejua ofisi za Erolink zilipo!

    kwani hawapokei CV kwa njia ya email?
  14. paramawe

    DART majibu vipi?

    hata zile za maxcom hawajaita usaili kimya kabisaa
  15. paramawe

    Msaada: Nahitaji kujua kama NMB kitengo cha ICT waliita interview

    Kwa anayefahamu NMB kitengo cha ICT walitangaza nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 4 mwezi huu, vp wameishaita interview juu kwa juu au tusubiri?
  16. paramawe

    Saidia kujua bei za Alibaba

    Samahani alibaba bei zao zikiandikwa hivi us $ 1,000.00 - 100,000.00 usahihi wa bei kwa bidhaa hiyo ni upi? naomba kueleweshwa.
  17. paramawe

    Msaada

    Kwa anayefahamu bei na gharama za kununua Ice block machine iliyo na uwezo wa kugandisha kg 1000, kwa hapa Tanzania au nje anijulishe.
  18. paramawe

    Msaada: Mabunzi ya Mahindi

    ahsante sn
  19. paramawe

    Msaada: Mabunzi ya Mahindi

    Habari! Naomba wa msaada wa anaejua wapi naweza kupata au kuchongesha mashine kwa ajili ya kusaga mabunzi ya mahindi ili yatumike kwa chakula cha mifugo anijulishe.
  20. paramawe

    Mnada wa vifaa mbalimbali

    mnada utakuwa lini
Back
Top Bottom