Search results

  1. W

    Amwagi kabisa

    Habareee! Jamaa yangu amekuwa na msiba mzito sana maishani mwake Truly ameniomba ushauri juu ya tatizo lake kuwa hajawahi kumwaga manii au mbegu au shahawa toka aanze kufanya mapenzi na mabinti,kwa sasa anadai amefanya mapenzi na mabinti 6 ili kujaribu kuling'amua tatizo lakin hali ni...
  2. W

    Lusinde,Serukamba na Prof Maji Marefu waongezwe

    Kwa kikosi kazi kilichotajwa jana Wamekosekana Lusinde,Majimarefu na serukamba hivyo sidhani kama team itafanikisha lengo =OMBI:Lusinde,Maji marefu na serukamba waongezwe kuwasaidia Lameck Mkumbo(nchemba) na Nkamia Nawasilisha Spika:Haya nawahoji,wanaoafiki waseme NDIOOoo,wasioafiki...
  3. W

    Maandamano makubwa kumpinga Mwigulu Nchemba

    Katika kile kinachodhihirisha kuchokwa na wananchi wa iramba,mwigulu kapatwa na dhahama kubwa jimboni kwake.Zaidi ya wananchi 100 wa kijiji cha makunda wilayani iramba mkoa wa singida,wameandamana kwa miguu kwa zaidi ya km 40,hadi zilipo ofisi za mkuu wa wilaya mjini kiomboi,kupinga uporaji wa...
  4. W

    Pamoja na kimbunga kilichotokea,iramba bado wanaimani na chadema.

    Msukosuko uliokikumba chadema,hivi sasa,ulitegemewa na wapinga mabadiliko hususan wale wa ccm,kukididimiza chadema katika wilaya ya iramba.Ikumbukwe kati ya watu waliovuliwa nafasi zao za uongozi na cc ya chadema juzi,ni dk kitila mkumbo,msomi aliekwisha weka nia yake wazi ya kugombea ubunge...
  5. W

    Ujio wa Mwigulu Nchemba,nyumba ya katibu wa CHADEMA yachomwa moto

    Taswira ya mbunge wa iramba magharibi,nd mwigulu Nchemba imezidi kuharibika jimboni kwake iramba.Kuharibika kwa taswira ya Mwigulu,kumeongezeka baada ya ziara yake iliyoanza jana hapa iramba,kuambatana na tukio baya lenye harufu ya kigaidi,la kuchomwa moto kwa nyumba ya katibu wa chadema kata ya...
  6. W

    Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    Wanajamvi napenda kutoa hadhari kabla ya kutoa mada yangu,kuwa mimi ni mwanasiasa huru hivyo wale mashabiki wa chadema wasiopenda kukosolewa msinishambulie. Nimefanya ziara hivi karibuni nyumbani singida na kukutana na maajabu ya kisiasa.Napenda kuona ushindani wa kisiasa nchini,hivyo ninapoona...
  7. W

    Mkuu wa wilaya ya Iramba afanya kituko cha aibu

    Kwa kile kinachoonekana kuanza kuathiriwa na siasa chafu za rafiki yake mwigulu nchemba,mkuu wa wilaya ya iramba ndugu Nawanda amekuwa akitumia madaraka vibaya,kwa kuamuru polisi kuwaweka ndani vijana wa kiomboi wenye mwelekeo wa kuipinga serikali ya ccm. Tukio la hivi karibuni ni kumweka ndani...
  8. W

    Maajabu,mpaka sasa hakuna dalili za chaguzi ngazi ya jimbo\wilaya

    Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi ndani ya chama chetu cha chadema,ratiba iliyosambazwa mikoani na wilayani nchini kote baada ya vikao vya kamati kuu na baraza kuu vya mwezi februal mwaka huu,mwezi wa sita mpaka wa nane kilikuwa kipindi cha uchaguzi ngazi ya misingi,matawi na kata. Cha ajabu...
  9. W

    M/kiti wa CCM aliyehamia CHADEMA amekamatwa na polisi

    Kamanda huyo ni yule aliyehamia CHADEMA mwezi uliopita,amekamatwa leo na kupelekwa gereza la wilaya. Kisa ni kwenda CHADEMA.
  10. W

    Bananga kuitikisa iramba magharibi(uchaguzi wa vijiji)

    Wanajf, Kesho ni ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa vijiji ktk jimbo la mwigulu nchemba, *Ally Bananga ndie atakae endesha kampeni ktk uchaguzi huu, UCHAGUZI NI WA VIJIJI 8 NA VITONGOJI 28.
  11. W

    Katibu wa chadema mkoa wa singida ni kikwazo

    Patriki msuta ni katibu wa mkoa wa singida CHADEMA. Msuta amekuwa ni tatizo na kikwazo kikubwa kwa ufanisi wa chadema mkoani singida. Yako madudu mengi yanayofanywa na katibu huyu mfano:amekuwa akiitisha vikao kwenye majimbo na wilaya bila ruhusa ya mwenyekiti wake ndugu kitundu.2 amekuwa akitoa...
  12. W

    Uchaguzi wa vijiji 17 na vitongoji 54 watangazwa jimboni kwa Mwigulu (Iramba)

    Baada ya Mkurugenzi wa wilaya ya Iramba kutangaza uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji 17 na vitongoji 54 tayari vyama hasimu wilayani hapo vimeonekana ktk maandalizi ya kumenyana kutokana ktk chaguzi hizo. Hali ni mbaya zaidi kwa CCM kutokana na mvuto wa CHADEMA wilayani hapo kuwa mkubwa kutokana...
  13. W

    Mwigulu Nchemba awaombe radhi viongozi wa dini Singida

    Akichangia bungeni jana,Nchemba amewatuhumu waziwazi viongozi wa dini mkoani Singida,kwa kudai eti walikusanywa na Dk. Slaa wakati wa kampeni,ili wampigie kura kwa misingi ya dini. Ni dhahiri waliolengwa ni wachungaji na maaskofu wa Singida,kwa kuwa siku zote Dk. Slaa amekuwa akitajwa na...
Back
Top Bottom