Search results

  1. N

    Ninataka kumuacha mke na kumuoa dada wa kazi

    huyo dada abaki kuwa dada wa kazi njoo kwangu unioe maana maisha yenyewe yalivyo magumu,nitakulea kama mtoto mchanga
  2. N

    Ninataka kumuacha mke na kumuoa dada wa kazi

    duh kaka umekurupuka kwenye maamuzi...utakuja kutupa mrejesho nini mwendelezo wa story hii
  3. N

    Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Duh una moyo mgumu hadi raha,yaani unaamini kabisa maji yanaweza panda mlima?
  4. N

    Hii ndoa hainipi amani

    Kweli kabisa njia za uzazi wa mpango zinamaliza kabisa hamu ya kufanya mapenzi,na Kama muoga kumwambia mume wake apake vilainishi anaumia kwa kuchubuka...
  5. N

    Hii ndoa hainipi amani

    Kwanza nikupe hongera ulioa mke ambaye ngono haikuwa kipaumbele katika ujana wake,lakini pia una mke ambaye akikwazika si mwepesi kuongea anaweka moyonj hivyo Jitahidi kuhakikisha ana amani,pia ngono haikuwa kipaumbele halafu ananyonyesha halafu kaweka uzazi wa mpango,utajua kwa nini hana hamu...
  6. N

    Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

    Duh umeniacha hoi kama Kuna watu hawajajua wewe ni mpinzani pure na umeandika mada ili kushawishi waliokatwa wadhani na wewe umekatwa kweli Basi nawapa pole...Ila pambana kwenye siasa Kuna mbinu nyingi
  7. N

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Sawa natoka Ila muombe Mungu akupe hekima na ufahamu wa kujua vyanzo vya Kila matukio yanayotokea kwenye maisha yako.Ujue utofauti wa Vita ya kimwili na ulimwengu wa kiroho..tatizo lako halikusababishwa na punyeto muombe Mungu akujulishe chanzo cha shida yako katika ulimwengu wa...
  8. N

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Hakuna spiritual effect kwenye punyeto kilichokutokea wewe hakihusiani kabisa..na ndio maana unakuwa mwepesi kukasirika,hatuhitaji longolongo kwenye inshu za kiroho,tunaongozwa kupitia neno la Mungu tupe ushahidi acha hasira.wewe hadi kuunganisha punyeto na inshu ya kiroho umetoa wapi?
  9. N

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Andiko lako halihusiani na nguvu za giza,kisayansi punyeto Ina madhara kwa mtumiaji kwa kuwa akili yake ikizoea Sana Hilo tendo inamuadhiri kwenye mahusiano na hata wakati mwingine upungufu wa nguvu za kiume....na hata kwa wanawake hamu ya tendo na mwanaume hupungua,lakini hali uliyokutana nayo...
  10. N

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Pole Ila ulikuwa tu na pepo,Mimi nikipiga punyeto toka nipo shule,nimesoma,nikafaulu vizuri,Nina biashara zangu zinakwenda vizuri na sasa nimeoa na watoto 4...hayo yalikuwa mapepo uliyokuwa nayo Acha kukurupuka sijasema ni sawa nilichopinga kuhusanisha punyeto na nguvu za giza,hakuna blabla...
  11. N

    Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

    Kachukue mtoto yatima aliyeachwa mdogo mlee,huyo atakuwa zaidi ya mwanao
  12. N

    Haya ndio Madhara makubwa kuliko yote ya punyeto

    Unamshauri nini binti yako wa form two aliyepevuka na anahisia za mapenzi? Afanye ninj kuondoa hamu zake?au punyeto ya wasichana ni tofauti?na vijana wa kiume wanaokua wafanyaje?
  13. N

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Achana na manabii wa uongo atupe ushahidi wa andiko kwenye biblia..Kama hakuna neno Hilo kwa andiko lake atueleze katoa wapi?
  14. N

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Usituletee hadithi neno lipo kwenye maandiko?,tupe ushahidi wa andiko la kwenye biblia sio mawazo yako,halafu punyeto hawafanyi wanaume tu na wanawake pia au wasichana ..unamshauri nini binti yako wa form one njia gani atumie kuondoa nyege zake?
  15. N

    Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

    Bora umejua tupo uchumi wa Kati hatudanganyiki yaani mmezibuana weeee eti Leo nitamsaidia Kama rafiki unadhani unaongea na wasiojielewa humu nini?
  16. N

    Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

    Kumbe mlikuwa mnaibana Sina haja ya kujiuliza kwa nini aliachwa...hongera baba k naona unahisi huenda mimba ni yako maana mlikuwa mnachanganywa 3 kwa mpigo
  17. N

    Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

    Hakuna utofauti kabisa isipokuwa wote wanatakiwa kumwabudu Mungu katika roho na kweli.hata hao waamini wengine Kuna kitu ambacho kwa nafasi waliyopo wanasaidia katika kutenda kazi ya Mungu..cha msingi ni Imani iende sanjari na matendo...hicho ndicho kipimo cha mkristo yoyote haijalishi anakazi...
  18. N

    Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

    Na Hilo inategemeana unamtumainia vipi Mungu wako,maana Kama hujamuita asimame na wewe Kama lango Bali lango unaendeshwa na nguvu za giza na tamaa za ulimwengu huo,uzaliwa wa Kwanza wenye nguvu ya Mungu utatoa wapi? Yapo malango au wazaliwa wa Kwanza waliosimama na YESU angalia...
  19. N

    Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

    Kweli kabisa yote hutokea na namna malezi ya watoto yalivyo....namshukuru Mungu baba yetu alikuwa mtu aliyemtumainia Mungu,alilea watoto katika Imani na kutusaidia kufikia malengo,wote Mungu katuinua,hakuna aliye mzigo kwa mwenzake,mzaliwa wa Kwanza kasimama na YESU hakuna kuteseka bali YESU...
  20. N

    Tuwaandae vijana wetu jinsi ya kuishi katika dunia ya wanawake waliowezeshwa

    S Sio Kila mvaa suruali ni mwanaume,hakuna mwanaume kamili mwenye mdomo Kama wako.angalia haiba za wanaume halafu ujione utaingia kundi gani? Mwanaume anaongea kwa hoja sio mipasho.....kwa heri
Back
Top Bottom