Search results

  1. K

    Kwa kitendo hiki rpc mkoa wa ruvuma ujatenda haki

    Kweli inadhihilisha ni kwa vp rushwa inatumika nchini kwetu,kitendo cha RPC mkoa wa Ruvuma kuamuru ffu kuwapiga wanafunzi wa chuo cha mtakatifu yosefu wakati wakiwa wamekaa bila vurugu zozote,inadhihirisha kuwepo kwa viongozi mzigo katika serikari yetu isiyo sikivu,kwani matatizo yao yalisha...
  2. K

    Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

    Nikweli kabisa mana tendo tunalifurahia wote then wanataka malipo kama ni bihashara wawe wanasema mapema tu.:A S 13:
  3. K

    Mgomo mkubwa leo st.joseph college songea

    Awamtimuhi mtu labda wao ndo waondoke na kutuachia nchi yetu,st joseph ya sasa c kama ya zamani wanafunzi wamezinduka na kitaeleweka tu.
  4. K

    Dogo anatamani kula madaftari ya notisi.

    kama ushauri uliompa ndio uliokusaidia na wewe hapo sawa atafanikiwa.
  5. K

    St.Joseph na utata wa bum

    wanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13:
  6. K

    Kaniambia nikimuacha ataniroga niwe chizi, lakini sikupanga kumuowa yeye!

    usimsingizie shetani tamaa zako ndo zilizokuponza,bas mwombe shetani akuepushe na ili balaha la kurogwa:lock1:
  7. K

    Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

    kama mlifunga ndoa kanisani jaribu kumwelimisha tu taratibu atabadilika,vp ulipenda usharobaro wake nini?sasa yamekukuta
  8. K

    CRDB na bodi ya mikopo

    Tulia dogo kwanza huna uhakika kama umepata mkopo,kama nikufungua account utafungulia chuo tena kwa bei chee
  9. K

    Nitamuunga mkono Benard Membe 2015 kama akioteshwa kugombea urais wa Tanzania

    Yawezekana umekumbwa na degedege unaweweseka tu,labda membe aje kuongoza familia yako na mkeo.
  10. K

    Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

    chuo chenye sifa ya wanafunzi wake wasio fanya field,wanaobaguliwa kwenye kuomba kazi,kweli kinastahili sifa.
  11. K

    St. Joseph University College of Agricultural Sciences and Technology (SJUCAST), Songea

    karibu sana anza kula kozi ya kuwasikiliza wahindi,ili ukija uku usipate shida ya lugha
  12. K

    Bachelor of education with special need-udom

    soma kwanza ndo uanze kulizia mambo ya kazi,kama kazi azipatikani utasoma kamata gamba lako kwanza mambo mengine yatafuata.
  13. K

    Habari njema form four..............st joseph university in tanzania

    sasa naona elimu yetu tumeanza kuichezea kwa mwendo huu.
  14. K

    Naombeni ushauri wana jf

    Tatizo lenu ni moja,mnayakologa then yakiwashinda ndo mnakimbilia kuomba ushauli,ni vyema tunge msikia na yeye ilituwweze kujua unayo ya sema ni kweli ua la ndo upate ushauli juu ya jambo lako.
  15. K

    natamani kuacha haka kamchezo lakin nashindwa!!

    cha msingi ni kuwa busy tu utafanikiwa kuepukana na hili tatizo.
  16. K

    BAJETI:Walimu sasa shangwe.

    mkuu vp nawe ni mwalimu unajifariji mbona ulicho andika akieleweki?
  17. K

    Matokeo ya kidato cha sita

    kuwa na subira yanaweza yakatoka ukayakimbia.
  18. K

    Nitoa bikira kwa dakika moja ya msichana wa chuo . Ni bikira original?

    kijana umeuziwa mbuzi kwenye kiroba,:rockon:
  19. K

    Nataka Kuoa Nitulie, Msaada Please

    kama ulishauliwa kuoa mke kutoka mko furani basi ulidanganywa,chamsingi nikupata mwanamke anaye kupenda kwa dhati nawe ukampenda kwa dhati hapo utakuwa umeramba dume.
  20. K

    udom ni janga

    poleni lakini ndo serikari yetu ilivyo siasa mbele maendeleo ndo yafuate.
Back
Top Bottom