Search results

  1. K

    Natamani kuwa na girl friend lakini sipati

    nenda kicheni hoteli kwanza, coz dada zetu nao wanaenda kichen paty. upo
  2. K

    Mwakilishi wako anafanya nini BUNGENI?

    umemsahau serukambo na mwigulu "Kwa kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe kutongoza." Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Leticia Nyerere '‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni..." Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde...
  3. K

    Mnyika ana hoja: Uwingi wa CCM bungeni wamwangusha juu ya bil 29 za rais

    ua un fear spika, ivi kweli roho haikusuti kwa icho unachokifanhya
  4. K

    Kada CHADEMA azidi kuteswa

    ivi nyie policccm sitaki kuamini mmefikia hatua ya kutomwogopa mungu, mtajibu nini kwa muumba maisha yenyewe mafupi bt mkuumbuke hata unavyopiga goti kusali sidhani ka mungu anaweza pokea maombi yako na mkumbuke mtalipwa ivyo ivyo kadri mlivyowafanyia wenzenu nawasilisha
  5. K

    Kada CHADEMA azidi kuteswa

    sitaki kuamini nw kama binadam nw wamefikia hatua ya kutomwogopa mungu ivi mtamjibu nini muumba na mkumbuke mshahara wa dhambi ni mauti, nyie policccm mungu atawapa pigo sawa sawa kadri mnavyowafanyia wenzenu just wait na always mtabaki kutumika na wengine kutanua
  6. K

    Msaada jaman

    ngoja waje wenye nchi
  7. K

    Ninakerwa na Kitambaa Anachovaa Mwigulu Shingoni

    mwaka huu mwaka wako mwigulu nenda kanisani kaombe toba mungu akuokoe mbele ya jamii
  8. K

    Balozi Waziri Kagasheki: Ardhi ya Loliondo Ni Mali Ya Rais

    CCM wana laaana na Mungu huyu huyu atawaathibu na wakumbuke kuwa hakuna kinachoshindikana chini ya jua na hakuna atakeishi milele duniani its too pain
  9. K

    Ninakerwa na Kitambaa Anachovaa Mwigulu Shingoni

    hana lolote laaanan inamsumbjua
Back
Top Bottom