Search results

  1. Prince Tumbo

    Ukaguzi wa Ruzuku kwa CHADEMA, CCM: Tumwamini Zitto au Vyama?

    Mwache zitto afanye kazi yake
  2. Prince Tumbo

    CHADEMA Ni Tishio kwa Mafisadi na Wauza Unga, Dalili za nguvu na Tishio ni hizi hapa....

    Chama cha demokrasia na Maendeleo kimekuwa na kitaendelea kuwa tishio kwa Mafisadi na wauza unga kwa kuwa kina mikakati madhubuti ya kupambana nao. Mafisadi na wauza unga sio watanzania wa kawaida (wenye kipato cha chini au elimu ndogo). Hawa ni watu wenye kipato kikubwa, wengine wasomi na wengi...
  3. Prince Tumbo

    Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

    Ni kweli, tukifika hapa tunaungana, umoja wetu ni zaidi ya siasa, Mungu awape faraja wafiwa
  4. Prince Tumbo

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Ushauri mara nyingi hulenga faida na hasara za tabia, je ulevi wake una faida (ni zipi), una hasara (ni zipi)...haipo faida ya ulevi kijamii katika ngazi ya familia, je ulevi wake unaisaidia familia? Unainua uchumi wake? Ulevi wake unajenga ndoa yake? Unasaidia watoto kwenda shule? Ulevi wake...
  5. Prince Tumbo

    Dada zangu njia gani mnatumia kuwashawishi wenzi wenu kujamiana?

    mmmmmmmh, mazito...mi najidanganya kwamba mmeo au mkeo ndio rafiki wa kwanza duniani, unashindwaje kumwambia wazi mpaka utumie vitendo vitendo wakati maneno ni rahisi kuliko vitendo?... Nie wake zetu eti wengine mnajihisi eti kumwambia live ni kujipendekeza....mkitoroka kwenye ndoa mkakapta...
  6. Prince Tumbo

    Meals & acomodation. . .

    Gharama zinatofautiana location moja hadi nyingine,mfano Dar ni tofauti na Bukoba
  7. Prince Tumbo

    Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

    Chukulianeni mizigo, jitahidi mzee uwe unarudia kapili, kamoja kanawasha tu basi anabakia na kimuhemuhe bado..au huwa una funga goli kwa penalty (yaani sekunde mzigo unashuka), anza goli hadi goli lingine kwa kutumia pasi za kutosha...then weka goli...
  8. Prince Tumbo

    Loveness Mamuya anaongozana na Mwigulu kama nani?

    Jibuni tu, ccm mmeshafanya Dr Slaa ni agenda yenu, mnadhani ni hekima inayotosha kwa ccm
  9. Prince Tumbo

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Pombe, pombe...hii lifestyle ya mtu na kuachana na pombe ni dhamila ya mmiliki wa tabia, kuacha lifestyle kwa dawa sio permanent solution. Dawa ya mtu huyo ni kumjenga kwa ushauri wa pande zote mbili ndg wa upande wake na ule wa mke, marafiki nao wamshauri na mke asi intertain tabia ya mme...
  10. Prince Tumbo

    Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

    Siasa bana, mmmmmmh...ngoja nikasome theory za karl marx, nampenda sana, mwanccm yeyote naamini hawezi kumpenda huyu jamaa...
  11. Prince Tumbo

    Kibamia kinaninyima raha msaada ma doctor ...

    Wandugu Masanja, watu walio na abnormalities kwa papuchi hawana raha maishani, ushauri wako ni mzuri ila faham kwamba siku hizi hakuna mwanamke mwenye papuch ndogo kama mdomo wa chupa ya soda, karb wote ni mdomo wa pipa...teh..teeeeh teh..hata wao wanajua hilo. Kilichopo ni kumjenga saikolojia...
  12. Prince Tumbo

    Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

    Aondoke nchini haraka, hiyo operation kimbunga ikipita kwa watumishi wa umma na vyama vya siasa lazima wapukutike
  13. Prince Tumbo

    Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

    We ni kijinga sana, tumbafu kabisa
  14. Prince Tumbo

    Uzinzi haufai jamani

    Ni ushuhuda mzuri, ila nina wasi wasi kama hiki kizazi kina moyo wa kujizuia kama ulivomudu wewe, wanawake wamekuwa walafi wa madudu yetu..wanaume wao hutamani hata kutafuna papuchi kabla hawajaanza sex...tunahitaji rehema tu, hatuna ujanja wowote kwa kuwa tunashawishiana barabarani sisi kwa...
  15. Prince Tumbo

    Kibamia kinaninyima raha msaada ma doctor ...

    Lakini unajua unachokiandika?.. Shetani angekuwa rafiki yangu ningemwambia akubambikizie tatizo hili then nawe tuone kama utakuwa na raha, shenji gabisa
  16. Prince Tumbo

    Kama unapenda maisha yako...ukifika mikoa hii usipende kuitaja CCM...mbele ya watu..

    Mbona Mwanza na kagera hususani wilaya ya karagwe umezisahau?
  17. Prince Tumbo

    Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

    Mmmmmmmmmh, sina la kusema, maana kama mleta mada unamaanisha live kilichokutokea unastahili kujengwa kwanza kisaikolojia,then kiuchumi...Mungu akusaidie
  18. Prince Tumbo

    Wapinzani na Rasimu ya Katiba: Jipangeni kutetea hoja kwa mantiki

    Ngoja nikuite Mh kwa sababu umenikuna akili yangu,you deserve to be a great thinker. Hoja zako zinamashiko...wapinzani umewapa mwanga na wayforward nzuri sana ambayo in the other way wananchi wataelewa kama tu haya yatafanyika, congrats Mkuu:clap2::clap2::clap2:
Back
Top Bottom