Search results

  1. Madago

    NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Institute Profile Establishment and Mandate The National Institute for Medical Research (NIMR) is a parastatal organization under the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly, and Children (MoHCDGEC). NIMR was established by the Parliament Act No. 23 of 1979 and became...
  2. Madago

    Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    ...pale upo bar na unapoona timu yako manu imeshinda ukaona uongeze kinywaji kwa furaha
  3. Madago

    Natafuta used marine boards

    Ukisema used unamaanisha nini hasa? unataka scrapper, yaani haitembei kabisa, au utapenda linalotembea pia? Boat pia hua zinauzwa na injini au bila injini. Kuna rafiki yangu anauza boti yake, inatembea dola 6500, iko tanga. nk
  4. Madago

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante sana Mkuu Chasha. Mimi Ninafuga kuku wa mayai wa kizungu ambao watatu wamekua majogoo. Haya majogoo yanamuonekano kama machotara (weupe na kama kahawia mgongoni na njanonjano) hawa huwapanda wa mayai kwa kwenda mbele. Kwa majibu yako ina maansha hata hawa majogoo si riziki? kwa mfano...
  5. Madago

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kubota na wengine nawashukuruni kwa kutoa habari nzuri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. mimi pia nafuga, wapo kama hamsini tu. Nina maswali yafuatayo, kuku wangu wakifika umri wa kama wiki3 baadhi yao huanza kunyonyoka manyoya na kuwa watupu kabisa, ingawa baadae huota, hii inasababishwa na...
  6. Madago

    Shameful: See inside the Nigerian Police College, Lagos

    Du Lagos? Ingekua huko madiguri au kano tungesema sawa labda...CCP iko juu vibaya sana. Swali ni je products zinazotoka huko Lagos na CCP wana tofauti gani kwenye utendaji wa kulinda haki za raia? kwa matukio ya hapa kwetu sioni tofauti saana..
  7. Madago

    Ukuta wa kituo cha mabasi Ubungo waangukia Magari leo asubuhi

    Twatumaini insuarance zenu ziko njema...poleni sana.
  8. Madago

    9 ways to become good and respected wife.

    Watu wa 'Gender equality', ma-'feminists' tuwasubiri waje japa....
  9. Madago

    Unaweza kuamini hii picha .........

    Aliyefika kwanza ni punda ama simba, au wote walikuja pamoja? Kama punda alikua anakunywa akasikia simba anakuja angekimbia nafikiri. Na kama simba alikua anakunywa punda asingesogea kabisa...!! unless wako tamed
  10. Madago

    "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Watu wengine bana, Mama wa watu kaja hapa anaomba ushauri watu wanalaumu ya nyuma, maji si yameshamwagika? utaanza zungumzia jinsi maji yalivyomwagika badala ya kukausha itasaidia nini? Kama huna ushauri ukikaa kimya haita kucost chochote... Larie ushauri wangu hautapishana na walopita...
  11. Madago

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kwahiyo KM kama nimekuelewa vema, nikishawapata hao Rhode Island kwa mfano, waka-cross na hawa wa kienyeji nliokuwa nao, mayai yatakayokua yanatoka hayana shida kuku hawa wa kienyeji wakilalia ili watotoe? Nauliza hivi kwa sababu nimeshawahi kuuziwa mayai kutoka kwa mtu mwenye hawa machotara...
  12. Madago

    A serious man to spend with the rest of my life

    Very open, eloquent na sincere..... Mama nanihii umeeleweka na kwa watakao kuhitaji, kama ulivyoagiza, wa ku PM mtadiscuss huko...All the best.
  13. Madago

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu Kichwa mbovu asante sana kwa hii elimu unayotupa, ingawa jina yako humu JF haiendani na nondo hizi. Mimi nafuga kuku wa mayai (kisasa) 550, wiki ya 12 sasa, pia nafuga kuku wa kienyeji sio chotara, kwa nje. Huwa nawatreat wote (layers na wa kienyeji) na wanarespond vizuri na sijapata scare...
  14. Madago

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Hii story inafanana kwa kiasi kikubwa na habari fumanizi la 'ukweli' (sikushuhudia) la dizaini hii lililotokea huko arusha kipindi fulani huko nyuma, story iyo nayo ilienea sana, ila tofauti yake ni vionjo tu --hiyo story ni kwamba jamaa ili aweze kumlala mkewe ilibidi kwanza yeye alalwe apate...
  15. Madago

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Sasa Chai Chungu kwenye hii story umeianzisha fast mnoo!! Ungesubiri kama baada ya wiki hivi....Yani mimi nimeshaku-picture kama mjedaa wa Tabora wa ukweli , na ztroy za maisha yao binafsi -life experience kwenye ile ya MY WITNESS! Wallahi nilitamani kumuona walao picha ya WITIII..sasa unakuja...
  16. Madago

    Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    Mjeda Nouma! Sijawahi soma hadithi humu JF hii ya kwanza na mpaka nimeimaliza leo saivi tangu mchana! Sasa mjeda kitu kimoja tu---umeanza kama wewe ni muajiriwa wa ujedani lakini ukamaliza kama mfanyakazi wa tours au ndio maflashback hayo????. Hii ngouma inafaa itengenezewe tamthilia kama ya...
  17. Madago

    Utapeli wa magari

    Hilo Tangazo moja kwa moja ni la kitapeli ukiliona--anahamia west Africa alifika huko ndio akagundua ni left hand? hana watu aliofanya nao huku awadonatie? straight a scam yani....
  18. Madago

    Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Kupenda maumbo makubwa ni tabia ya muda mrefu Africa. Hii inathbitishwa hasa na maneno yaendanayo na hicho kitu tangu zamani, kuanzia wowow, mgongo, kujazia nk. Katika jamii nyingi ukioa akiongezeka umbo ni sifa kwako mwanaume. Tukitaka kuliangalia hili vizuri, lizungumzwa kwa kuchambua...
  19. Madago

    Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

    Watu wangekuwa wanarejea mistari yao ya siku ya ndoa uvumilivu ungekua rejuvinated kila waonapo liwakeralo.....sijamaanisha ni rahisi.
Back
Top Bottom