Search results

  1. S

    Halmashauri zetu na mapungufu yake.

    habari zenu wana jamvi, Nikiwa kama mtumishi wa serikali nimebahatika kufanya kazi Halmashauri za miji/jiji na watu mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya Tanzania lkn niliyoyasikia na kuyaona yanasikitisha. Halmashauri hizi ndizo zenye wafanyakazi wengi wakiwemo manesi, walimu matabibu na...
  2. S

    Msaada: Anatumia kiwanja changu kuweza kufika kwake

    Ndugu marafiki nahitaji ushauri wenu, nimefanikiwa kujenga nyumba yangu eneo fulani mkoani Mbeya. Lakini kuna jirani yangu ambaye anatumia eneo la kiwanja changu ili aweze kufika kwake na ni mbele ya nyumba yangu. Nimeshamwambia kwa mdomo na kwa maandishi kwamba natahitaji kutumia eneo hilo ...
  3. S

    Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Kama kawaida , tupeane taarifa za matokeo ya mechi zote za leo , leo mbeya sokoine mtibwa sugar atakuwa akipelekwa puta na Mbeya city , wapenzi wa Mbeya city twendeni tuipe sapoti timu yetu , najua wengi mtakuwa na hamu ya kuiona timu yenu na kuisapoti wapate matokeo mazuri . Mbeya city...
  4. S

    Mbeya city msibweteke bado mna kazi kubwa.

    Kwanza tuwapongeze wachezaji , viongozi na benchi lote la ufundi , na mashabiki wote wa city ambao mnatuwakilisha mashabiki wenzenu tuliopo Mbeya. Niseme tu kwa mechi hz mbili mbeya city mmefanya vyema japo si vile mlivyotuahidi, lakini jicho na akili na nguvu na umoja tuelekeze tarehe 2 ! Hii...
  5. S

    Stanslaus katabalo , Gerald mullo ????

    Katabalo , kipindi kile cha magazeti ya mzalendo , mfanyakazi ,nk huyu alikuwa mwandishi wa habari wa ukweli , alithubutu akatupa habari za ukweli , akachimbua haswa , akatueleza jinsi twiga wetu walivyokwenda Saudi arabia baadae akanyamazishwa , stori ya twiga ikafa, naye pia tukamsahau ,na...
  6. S

    Idara ya maji mbeya nini tatizo ????

    Wanajf hii hatari sasa , ni wiki ya tatu sasa kumekuwa na upungufu wa maji katikati ya jiji la mbeya na pembezoni mwa jiji pia,. Mamlaka inayohusika imekuwa kimya! Angalizo kwa serikali na idara husika msijeanza kimbizana kipindupindu kikianza .
  7. S

    Mwagane yeya !! Mwagane yeya !! Daaah

    Huyu jamaa kafunga magoli mazuri sana , umeonyesha namna ambavyo mfungaji anapaswa kuwa , usiishie hapo ongeza bidii mpira wa tz haulipi kiivyo ongeza bidii angalia mbele!
  8. S

    Uptades: mbeya city vs ashanti nw on.

    Mechi iliyokuwa imepangwa kesho jumapili inachezwa leo na prison atacheza kesho . Mbeya city na ashanti ndo wanaingia uwanjani sasa. Tuendeleee
  9. S

    MADEE AKIAMKA VIZURI FIESTA , itakuwa noma sana

    Kwa mtizamo wangu , kama huyu jamaa akiamka vizuri kabisa siku ya fiesta hao ma international wataisoma namba!!! Akishusha hv vitu viwili tu kazi kwisha NANI KAMWAGA POMBE YANGU !! Amalizie na TEMA MATE TUMCHAPE itakuwa balaa ? Kwani wabongo huwa tunaimbishwa na tunaimba zaidi nyimbo za...
  10. S

    Mbeya city vs prison tarehe 26 / 10/2013

    Kwa wale mliopo nje ya mkoa wa mbeya njooni mapema , huu hautakuwa kama ujinga wa yanga leo , mtapata burudani kulingana na kiingilio chenu ! Nawambia kabisa muingie mbeya kabla ya ijumaa msijekosa siti.
  11. S

    Je wewe kama dereva unazingatia haya unapokuwa barabarani?

    Kumekuwa na kawaida ya kutoa fair, yaani kuruhusu gari au magari yanayotoka service road kuingia main road pindi ambapo kumekuwa na foleni kubwa ya magari, hili huwa linaenda sambamba pamoja na kuruhusu mkusanyiko wa watu kuvuka sehemu ambayo pia si rasmi,hii tunaitafsiri kama upendo na kujali...
  12. S

    Hewa yaendelea kuwa nzito kwa Yanga sokoine

    Kama kawaida yanga ikiwa mbeya ,kwa mashabiki walioamua kushangilia timu zao za mbeya yadroo na prison ilicheza soka mbovu!!!! Bravoooo Mbeya bravoo,,
  13. S

    Mlichokipata YANGA Mbeya , mtegemee kukipata na mikoa mingine.

    Kwa mara ya kwanza kabisa ,katika historia ya mpira miguu nimeshuhudia mabadiliko ambayo yanga hawakuyatarajia , umati wa washabiki uliojitokeza kuishabikia timu yao ya mbeya tofauti na kipindi cha nyuma , ambapo tulizoea kushabikia Yanga na Simba sasa inatoweka , na wshabiki kuanza kupenda vitu...
  14. S

    Wanajanvi tumsaidie Mzee MUHIDINI GURUMO.

    Nikiwa kama mpenzi wa burudani , hasa muziki wa dansi nimejisikia vibaya baaada ya kumuona huyu mzee leo chanel Ten, akiomba msaada wa watanzania kumchangia chochote kwa tamasha ambalo litafanyika dar es salaam.Amediriki kusema katika miaka yote ya kimuziki hajafanikiwa kumiliki hata baiskeli...
  15. S

    Wanajanvi tumsaidie Mzee MUHIDINI GURUMO.

    Nikiwa kama mpenzi wa burudani , hasa muziki wa dansi nimejisikia vibaya baaada ya kumuona huyu mzee leo chanel Ten, akiomba msaada wa watanzania kumchangia chochote kwa tamasha ambalo litafanyika dar es salaam.Amediriki kusema katika miaka yote ya kimuziki hajafanikiwa kumiliki hata baiskeli...
  16. S

    Ahsante Barnaba kwa kumtendea haki Izzo Bizness, hakika wewe ni mwanamuziki

    Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!
  17. S

    Utapeli wa aina yake kwa wakazi wa jiji la MBEYA:

    Hivi karibuni kumeibuka tapeli mmoja hapa MBY ambaye ni mzee wapata kama miaka 50, mzee huyo anatumia usafiri wa pikipiki na hutembelea maduka ya watu mbalimbali na utapeli wake ni kama hv. Mzee anajifanya kama alikuwa kamati ya vinywaji harusini , na hivyo anakwambia kuna vinywaji ambavyo...
  18. S

    Mpaka sasa sijisikii fahari kuwa mtanzania

    Nimekuwa nikijaribu kuangalia kila chanel ili kuangalia tukio lililowapata wenzetu wa Arusha lakini, hakuna hata chanel ambayo inatuonesha ni kipi ambacho kinajili kwa Watanzania wenzetu. Mimi kama Mtanzania na nnajivunia kuwa mtanzania moyo wangu unaumia na nnafikiria juu ya wenzetu...
  19. S

    Mkazi wa Sumbawanga apigwa risasi na polisi

    Polisi katika mji wa sumbawanga wamempiga risasi mkazi mmoja wa kisesa Sumbawanga wakisaidia kumsaka mtuhumiwa aliyewatoroka askari magereza, msako huo walikuwa wakiufanya nyumba kwa nyumba. Chanzo itv
  20. S

    TANROAD(Mbeya) wekeni trafik light makutano ya barabara ya Mafiati Mwanjelwa

    Kwa wakazi wa jiji la Mbeya na wanaotumia barabara ya Morogoro road, inayoanzia Dar mpaka Tunduma,barabara hii imekuwa na foleni kubwa hasa nyakati za jioni, hasa katika makutano ya barabara ya mafiati kwenda mjini, hii yote ni kwa sbb hakuna taa za kuongozea magari eneo hili, na eneo hili ni...
Back
Top Bottom